Sizioni mkuu ebu nionyeshe ziko wapi? Naomba unisaidie kwa hilo...au ndio yale yale mambo ya kusikia stori za vijiwe au bendera fata upepo! Ebu nisaidie hizo pesa zinapatikana wapi na mimi nizifate manake nina shida ya ela sana sana
Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.
Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.
Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe Lowassa mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.
Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.
Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.
Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.
Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.
Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.
Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.
Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.
Inaelezwa kuwa mhe Lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.
Stay tune for more information.

Million tano unaita mamillioni? nyie ndio wale mabingwa wa kuamini uzushiLOWASSA AWAMWAGIA MAMILIONI YA FEDHA WAISLAM LEO-HUYU NI KIONGOZI WA UMMA, SI MFANYABIASHARA
Posted on 10 Apr by CCM Blog
Waziri Mkuu wa zamani, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akikabidhi kitita cha sh. milioni tano kwa viongozi wa Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA), katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa BAMITA, Sheikh Salum Sung'he. Imeelezwa katika makabidhiano hayo kwamba fedha hizo ni kwa ajili ya kuendeleza mipango kazi ya BAMITA katika kuelimisha jamii katika kupunguza maambukizi ya Ukimwi na kudhibiti mimba kabla ya ndoa. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa BAMITA, Alhaj Juma Swalehe. Huu ni mwendelezo wa Lowassa kumwaga mamilioni ya fedha kwa taasisi za kidini ambapo amekuwa pia akimwaga mamilioni kwenye makanisa kupitia
Sizioni mkuu ebu nionyeshe ziko wapi? Naomba unisaidie kwa hilo...au ndio yale yale mambo ya kusikia stori za vijiwe au bendera fata upepo! Ebu nisaidie hizo pesa zinapatikana wapi na mimi nizifate manake nina shida ya ela sana sana
Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.
Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.
Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe Lowassa mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.
Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.
Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.
Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.
Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.
Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.
Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.
Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.
Inaelezwa kuwa mhe Lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.
Stay tune for more information.
Million tano unaita mamillioni? nyie ndio wale mabingwa wa kuamini uzushi
Sizioni mkuu ebu nionyeshe ziko wapi? Naomba unisaidie kwa hilo...au ndio yale yale mambo ya kusikia stori za vijiwe au bendera fata upepo! Ebu nisaidie hizo pesa zinapatikana wapi na mimi nizifate manake nina shida ya ela sana sana
Hii thread naona inawahusu magamba peke yao. gamba moja linamwaona mwingine hafai wakati yote ni ya kutupa kuleee!
Jina Mhe. Lowassa kutajwa kwa mara 12, sii promo haba!.Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Mhe. Lowassa (1) waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.
Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao Mhe. Lowassa (2), anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.
Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe Mhe. Lowassa (3) mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.
Inasemekana Mhe. Lowassa (4) alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.
Hofu ya madaktari ni kuwa suala Mhe. Lowassa (5) la degenerative urais linampa Mhe. Lowassa (7) stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.
Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.
Kwa sasa Mhe. Lowassa (8) amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.
Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani Mhe. Lowassa (9), atashindwa hata kutembea mita mia moja.
Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua Mhe. Lowassa (10) ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.
Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na Mhe. Lowassa (11) mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.
Inaelezwa kuwa Mhe. Lowassa (12) anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.
Stay tune for more information.
Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.
Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.
Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe Lowassa mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.
Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.
Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.
Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.
Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.
Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.
Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.
Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.
Inaelezwa kuwa mhe Lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.
Stay tune for more information.
Weweni kenge maji inawezekanaje mzungu akampamtu mwingine majibu yamtumwingine tenamadaktariwenyewewazungu duuuuuuu aiseeesiosiri Lowassa nimeamini anaogopwasana ktkmbiozaMagogoniHabari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.