Lowassa asababisha timua timua ITV


IT masaki ktk ubora wake. Ila kwa kutengeneza id nyinginyingi ili muweze kuanzisha threads zenye ujumbe sawa hamjambo. Ubora acha usukule.. uzi ulianzisha ni wa pili ili kuonesha msisitizo na kuhalalisha uongo wako. Watanganyika hatudanganyiki tena. Tusha hamua.
 
Mliotimuliwa wote dawa ya kuwakomesha mafisadi na rafiki zao ni kumchagua magufuli tu na kumkata Lowassa
 
Huyu mzee simpendi,lakini huwa sioni kama ni jambo la busara kumsimanga afya yake,suala la kuwa mgonjwa halijalish wewe ni tajiri au maskini.tumponde kwa mengine lakini mambo ya afya yake tumuachie yeye na mungu wake.


yaan mambo ya siasa tuweke pembeni jaman ukiwa mgonjwa watu wanakusimanga roho inauma sana
 
Chopa zetu zote ziko salama sipendi uongo mie kura yangu kwa Lowasa si mnafiki si muongo hana matusi hamdharau mtu.

Wamiliki wa chopa wapo humo humo pia ni njia ya ulaji kwa akina January na mwigulu ambao wanapata 10% kwa kila chopa iliyokodoshwa.
 
Tumesikia mengi kuhusu Lowassa lakini haitubadilishi msimamo wetu wa kutaka mabadiliko
 
Wazima wengi wametangulia wewe bado unaendelea kumdhihaki Lowasa kwa kumpakazia uongo wakati ugonjwa hauna Hodi unakuja ghafra tu, huna mikataba na mungu utaugua tu ujue kuwa si vizuri kuwapakazia wengine wakati mwili wako si wa chuma.
 
Tumesikia mengi kuhusu Lowassa lakini haitubadilishi msimamo wetu wa kutaka mabadiliko

Hata wapakaze nini watu watakomaa ni mabadiliko tu kwa kwenda mbele
 
Ugonjwa wake ni wa kusahau hata jina lake siku hizi halikumbuki, utamsikia naomba kura zenu tu. Rais ndio symbol ya nchi, hatutakiwi kuwa na shaka shaka nae,usalama wa nchi yote uko kichwani kwake. Hatutaki tumchague lowasa aongoze Sumaye.

Sasa kama anasahau mpaka jina lake anawezaje kukumbuka kuwa anagombea Urais na yuko hapo kuomba kura??
 
Mnakufa nyie wenye afya na kumuacha yeye lakini hamkomi, endeleeni tutaendelea kuwazika tu maana hakuna namna nyingine.
 
Hio clip niliiona kwa Instagram kwenye page ya mdada maarufu mtanzania anayeishi nje,. Sidhani kama ni uzushi
 
Endeleeni tu kuingilia kazi ya mungu, nani aijuae kesho? Nani aijuaye hatima ya afya yake?
 
Huyu mzee simpendi,lakini huwa sioni kama ni jambo la busara kumsimanga afya yake,suala la kuwa mgonjwa halijalish wewe ni tajiri au maskini.tumponde kwa mengine lakini mambo ya afya yake tumuachie yeye na mungu wake.

Kumbe huwa una busala sometimes!!
 
Hakuna ajuae ataugua lini wala kufa lini hayupo mwenye mkataba na mungu juu ya afya yake kila mmoja ni mgonjwa mtarajiwa , hii Tabia mbovu ya kumpakazia Lowasa kila aina ya uongo haiwezi kuzuia mabadiliko kwani Watanzania wameamua sasa, ndiyo maana Membe na January wameleta Utitiri wa waganga wa kienyeji( masangoma) kibao toka Gambia na mataifa mengine Lakini bado wanaona hali ni tete na karibia Membe atamaliza yale mabilioni ya marehemu Gadafi pasipo kufanikiwa kuibomoa ukawa kama alivyokuwa akitarajia, Nape na Makonda wamemlia pesa nyingi kwa kisingizio cha kuzitumia kuwabomoa ukawa lakini kumbe walizitumia kununua nyumba Dubai ili kikinuka wakimbilie huko.
 
Hata kama Lowassa angekuwa yupo ICU maamuzi yangu na familia yangu kumpa kura zetu Lowassa yako palepale kumuondoa huyu mkoloni mweusi ccm. peopleees power!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…