Lowassa asababisha timua timua ITV

Safi sana naomba awe yule mwenye upara ni mnafiki sana
 
Eti Breaking news.. Subiri breaking news tar 26. Huu upuuzinongea na wana CCM WENZAKO!!!!!
 
Kwani siku hizi anatumia dakika ngapi kuhutubia?

Nyie mnatumia ngapi kwa pushup? Hata jana nilimwona anawasotesha mashehe Zanzibar! Ngoja washindwe shughuli za nyumban kama atapata kura za akina mama
 

Tubu tu,wengine wamekufa kwa ujinga kama wewe wamekufa.

Mwl.Nyerere alienda kuchunguzwa afya Ulaya akarudi maiti. Wagonjwa wakaendelea kuwa wenyeviti.
 
Hata akiwa dhoofu tutampigia kura maana atatukumbuka kusimamia afya zetu.

Ugonjwa wake ni wa kusahau hata jina lake siku hizi halikumbuki, utamsikia naomba kura zenu tu. Rais ndio symbol ya nchi, hatutakiwi kuwa na shaka shaka nae,usalama wa nchi yote uko kichwani kwake. Hatutaki tumchague lowasa aongoze Sumaye.
 
Hiyo ndiyo Mengi anaiita saratani ya uongo.
video kama imevuja wanaomchukia lowasa wangeirusha pale pale bila kuchelewa lakini bado wiki moja wote musiomkubali itabidi mumkubali.
 
Ugonjwa wake ni wa kusahau hata jina lake siku hizi halikumbuki, utamsikia naomba kura zenu tu. Rais ndio symbol ya nchi, hatutakiwi kuwa na shaka shaka nae,usalama wa nchi yote uko kichwani kwake. Hatutaki tumchague lowasa aongoze Sumaye.

Maana wewe ni mzima sana..utaishi milele.na ushachek afya yako ukajiona mzima?kabla hujafa hujaumbika..make jokes about other stuffs but nt about health status ya mtu.wengine marehemu watarajiwa hata hamjijui kazi kumsema lowasa lowasa..mumuache ndo tushampenda sasa
 
Mtoa uzi huu tubu kwa Mungu ,hujafa hujaumbika ,

Unasema mwenzako mgonjwa,watu wanatangulia wanamwacha wanayemwita mgonjwa

Nakwambia tubu maana Mungu anajibu kwa moto.

Kumbuka sala ya sheikh pale Jangwani UKAWA walipozindua kampeni!
 
Kiwanda cha uongo at its best!Hiyo clip iliyovuja kaiona nani?Lumumba mmechanganyikiwa nin?
 
Hakuna wa kututenganisha na lowassa coz ni chaguo letu.
 
Naomba huyu aliyetoa uzi huu awajibishwe sheria ya mtandao kama itadhibitika ni mchochezi.
 

Acha uzushi nimeziona izo video mtu kukohoa ndo dhaifu na kusema nimekula asali ndo dhaifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…