ras mkweli
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 280
- 105
suala sio chama, suala ni mtu. wewe inaonekana hujielewi!mtu haipendi ccm lakini anamkubali EL mim hapo ndiyo nashindwa kuelewa! bora ccm waendelee kuongoza nchi tu raia huku tumeshajichokea na tumeshakuwa sugu
hakuna mtu mwenye akili timamu atakayemchagua fisadi
Ndo tayari hny keshaanza, uhakika ni mkubwa maana JK hana la kufanya zaidi ya kutegemea wazee kama Msuya waingilie kati EL asigombee.Hivi huyu mtu anauhakika gani CCM itamchagua yeye agombee kuwa president ???
suala sio chama, suala ni mtu. wewe inaonekana hujielewi!
Join Date : 18th January 2014
Location : New York Near White House
Posts : 523
Rep Power : 455
Likes Received: 135
Likes Given: 20
kwa makota koya umeona hivyo si ndio.....!!! Unauhakika gani kwamba Lowassa ni fisadi...???
Bange bana..
kwa kometi yako hii kweli nimeamini wewe ni msukuma mchunga kondoo, ambaye bado una tongotongo
hapo kwenye rangi nyekundu... Maana nikisema red hutaelewa... Hapo panaandikwa komenti au kwa kiingereza ni comment.. Sawa wakuja mwenzangu...??? Mwenzio nimesoma kidogo..
Lowasa anazingua mkuu jamaa mgonjwa tapeli mwizi na fisadi halafu anataka awe kiongozi aende zake pengine akawe kiongozi wa baraza la wazee wa monduli.Hangaikeni na afya yake kwanza maana juhudi zote mnazofanya itakuwa bure kama wale watabiri wawili waliotabiri kuwa mgombea mwenye afya mbovu atafia jukwaani utabiri wao ukawa kweli.
All in all CCM patachimbika, Laigwanan amejipanga
i see that too!Tuambie wew unaejielewa umeelewa nini! halafu punguza stress kichwani naona zako zimehamia tumboni!