Lowassa apoka demokrasia ya chadema (aliyoilalamikia ccm)

hongoli

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
18
Reaction score
15
¤Lowassa analalamika CCM imepoka demokrasia ili asiwe rais.

¤Lakini yeye mwenyewe anapoka demorasia ndani ya CHADEMA. Ameshinikiza viongozi wamsimamishe awe mgombea urais bila kushindanishwa na wagombea urais wengine

¤Anajua lazima atashindwa kwenye kura ya maoni kama akishindanishwa na mtu kama Dr Slaa.
 
Namimi nashangaa sana kwanini dr asichukue fomu agombee. Kama demokrasia lowassa apambanishwe na dr slaa. Kwanini Mboe au washiriki wa ukawa wanalazimisha chadema kuuwa demokrasia hivi?
 
Mnatekenyana na kujichekesha wenyewe!!!

Mmemkata akajikata sasa shida yenu nini??
 
¤Lowassa analalamika CCM imepoka demokrasia ili asiwe rais.

¤Lakini yeye mwenyewe anapoka demorasia ndani ya CHADEMA. Ameshinikiza viongozi wamsimamishe awe mgombea urais bila kushindanishwa na wagombea urais wengine

¤Anajua lazima atashindwa kwenye kura ya maoni kama akishindanishwa na mtu kama Dr Slaa.

Kakojoe ulale ila usisahau kuvaa pampas
 
sisi kina gogo la shamba tuliwaambia ccm kwamba,hasara ndogo kwao ilikuwa kumpitisha Lowasa lakini hawakutaka kufuata ushauri wetu sasa jasho litawatoka
 
Back
Top Bottom