Silentobserver007
Member
- Jun 26, 2015
- 69
- 30
sizitaki mbichi hizi! Kama lowasa Ni fisadi kwanini hamjampeleka mahakamani??? Kumbe chama cha majambazi (CCM) kinafuga mafisadi!!! Baba riz na mwanae wamechangia tz kuwa maisha magumu kwa kujilimbikizia Mali huku wengine tunaishi kwa shida! Makufuli Ni hizi kubwa kaminya mradi WA barabara mpaka barabara kujengwa nyembamba nayeye kujenga kebby's hotel bamaga na kumweka Malaya wake Dada kabula kuwa msimamizi ambaye alimwachanisha na mume wake na kumuhonga viwanja 3 vya serikali, upo hapo we kibaka wa panya buku wa Lumumba fc?? Bado Andrew chenge, Anne kilango, balali ambaye mmemficha na kutuaminisha amekufa!ccm Ni genge la wahuni ( wezi wa kura, wezi wa Mali zetu, wauaji, wahongo, wanafki,wala rushwa nk) RIP CCM wote mmeoza
Unajua nashindwa kuwaelewa nyie watu. Jana mnalalamika Magufuli mkurupukaji kalicost taifa sijui blah blah, leo mnataka watu wakimbilie kufungua kesi ambazo bado wanakusanyia ushahidi alafu wakishindwa mnaanza yale yale. Mambo mazuri hayahitaji haraka na tingatinga kishasema atawashughulikia POLE POLE. Hehe. Kaa mkao wa viboko kwenye baridi lazima viingie safari hii. Kikwete anajua mziki unaokuja mnene anajipendekeza saivi. Lowassa atabaki na jazba zake na zitamcost siasa waulize walizozianzisha sio lowassa kijana. Pole sana kwa uelewa wako mdogo na story za vijiweni utajua tu mwaka huu. Tukutane October
Hakuna siku lowassa aliyoonekana anafaa sio leo tu na futa ujinga mavi huwezi dharau nchi yetu kwa kusema upuuzi kama huo, heshimu nchi yako ama itakukosea heshima na wewe. Bisha sasa utajionea.
CCM kamwe haiwezi pasuka we lofa mwalimu hakubaatisha. Kinachouma ni ammount ya watu wajinga na wapumbavu wanaoshabikia pumba na kinyesi cha nguruwe kama wewe.
Hakuna siku lowassa aliyoonekana anafaa sio leo tu na futa ujinga mavi huwezi dharau nchi yetu kwa kusema upuuzi kama huo, heshimu nchi yako ama itakukosea heshima na wewe. Bisha sasa utajionea.
Ufee tu mrembo ila tutakosa naniliii yakoooLowasa asipokuwa rais najinyonga
Akifanya tofauti na hivyo atazidi kujiharibia heshima yake.akifanya hivo ataheshimika. akibaki ccm ni aibu..
Unao uhakika na hiyo vision? . Angekuwa na vision angeanza kuitimiza Monduli kwanza. Mapovu yatawatoka mwaka huu na ikulu hamtaiona hata kwa risasi.
Nimegundua wewe ni malikia wa mipasho. Mshabiki tu huna la kuchangia. Ni kweli kinachoniuma ni hii level yako ya stupidity. Ndio kinachocost taifa. We nenda chadema na mamvi wako tuachie sisi tuanze isafisha ccm pole pole. Ni miaka 10 tumesubiri huyu mtu na timu yake iliyorudisha maendeleo nyuma wasepe na ndio sasa. Kaa mkao wa majonzi maana huyo unayemuita yeboyebo atakunyoosheni tu
Huo mvuto wake aliuficha wapi Arusha mjini wakati Batilda Buriani anatandikwa makofi na Lema? Umesahau hata kichapo cha Nassari kwa mkwe wa Lowassa kule Arumeru? Na kama kweli anaamini yeye ana 'wafuasi' wengi kwanini anang'angania CCM? Why?
Narudia, watu wameahidiwa vyeo sasa wanataka kumpeleka Lowassa kibla wakimdanganya kuwa ana 'wafuasi wengi'! Tafuteni namna nyingine ya kuishi mjini lakini Lowassa ameshakatwa. Mwisho!
Wale pesa zake, mwisho wa siku watamkimbiaa!! jamaani namuonea hurumaa!!!