Lowassa apigwa shinikizo kali

Usifikiri watanzania waliokua enzi hizo unazotaja za kina Mrema na wa sasa sawa, wasasa wameshafunguka macho hawadanganyiki huu wakati mwengine.
 
lowasa nifisadi. ccm chama makin kinapeleka viongoz safi ikulu maali patakatifu
 
Mzee Lowassa hao wanajidai kukutaka USIHAME wametumwa Na CCM wanajua ukihama in TISHIO kwa maccm Mkuu wamekudhalilisha sana hebu nenda CHADEMA baba
 
Amsikilize mkewe na familia yake. Hao washirika hawamtakii mema.
 
nyakati zimebadilika
enzi unazo sema kulikuwa hakuna kura za maoni vyama vya upinzani
watu wengi walikuwa ccm
siku hizi watu wanazaliwa hadi kufika miaka 40 hawajawahi kuwa CCM

muache ajaribu bahati yake
Hii ni scenario iliyopo. Mtu mmoja yupo upande mmoja wa mto. Upande wa pili kuna watu wanamshauri avuke huo mto kwa kuogelea.

Lakini mkewe na swahiba mkubwa wa huyo mtu wanamshauri asivuke sababu wao wana wasi wasi na kina cha maji hawana uhakika kipo deep kiasi gani.

Wale upande wa pili suala la kina cha maji kwao sio ishu. Wale wa upande wa pili inaonekana wamenogewa na mahaba(yanaweza yakawa ya kifedha au ya ukweli) ya huyu mtu na wanatamani avuke pasi kujali kwamba kuna uwezekano ni kina kirefu.

Kama kina ni kirefu kuna hati hati huyu mtu hatofanikiwa kufika upande wa pili. Hii ni scenario tu inaweza isiwe na uhalisia.
 
Mzee lowassa hao wanajidai kukutaka USIHAME wametumwa Na CCM wanajua ukihama in TISHIO kwa maccm Mkuu wamekudhalilisha sana hebu nenda CHADEMA baba
Ukiwa hai na ukiwa mfu suala la kuwa tishio au kutokuwa tishio linabadilika kutegemeana na kipi kipo katika huo wakati muafaka.
 
Unao uhakika na hiyo vision? . Angekuwa na vision angeanza kuitimiza Monduli kwanza. Mapovu yatawatoka mwaka huu na ikulu hamtaiona hata kwa risasi.
 
Nilichojifunza mpaka sasa hakuna fisadi nje ya ccm ,fisadi akitoka ccm kwenda upinzani ametakasika

Kwa sababu hata hao wapinzani ni mafisadi wanaosubiri zamu yao ya kufisadi nchi ndio hili sarakasi unayoiona
 
Mkuu umeifanya siku yangu iende vizuri,yani natamani Magufuri aingie leo kesho mjengoni,ili huyu Mamvi apate Bakshishi yake.
Akifanya hivo; Hata familia kuu INAWAHUSU!
 
Leo ndyo mnamuona lowasa hafai? akili nyingine za kilumumba bana kama ushuzi. Lowasa ni mwamba wa siasa za Tz, ukitaja Tz basi jua unamtaja Lowasa

Hakuna siku lowassa aliyoonekana anafaa sio leo tu na futa ujinga mavi huwezi dharau nchi yetu kwa kusema upuuzi kama huo, heshimu nchi yako ama itakukosea heshima na wewe. Bisha sasa utajionea.
 
Pole sana kama imekuuma...ila huyo yebo yebo hakanyagi kwa lowasa hata kwa jiki...na safari hii goli la mkono dah itakuwashida...kamera kila kona!

Nimegundua wewe ni malikia wa mipasho. Mshabiki tu huna la kuchangia. Ni kweli kinachoniuma ni hii level yako ya stupidity. Ndio kinachocost taifa. We nenda chadema na mamvi wako tuachie sisi tuanze isafisha ccm pole pole. Ni miaka 10 tumesubiri huyu mtu na timu yake iliyorudisha maendeleo nyuma wasepe na ndio sasa. Kaa mkao wa majonzi maana huyo unayemuita yeboyebo atakunyoosheni tu
 
Mkuu sema ukweli inauma sana kuona lichama lenu bibi kizee(ccm) linaenda kupasuka vipande vipande

CCM kamwe haiwezi pasuka we lofa mwalimu hakubaatisha. Kinachouma ni ammount ya watu wajinga na wapumbavu wanaoshabikia pumba na kinyesi cha nguruwe kama wewe.
 
lowasa nifisadi. ccm chama makin kinapeleka viongoz safi ikulu maali patakatifu

wewe akili yako imekufa ila bado unapumulia oksijeni,wananchi wa enzi ya mkapa sio wasasa!! RIP gamba (chama cha majambazi)
 
El imara ni yule atakaye jitengenezea historia yake kwa kujivua nyadhifa zote ndani ya CCM, atakaye Achana na masulufu ya uwaziri mkuu aliousema ndilo lilikuwa tatizo na si Richmond kama watanzania walivyo aminishwa lakini akubali kubaki kama mwanaCCM wa kawaida.
 
Kuna kajamaa kalidai mamvi asipokuwa rais tukaue! Sijui bado kanasimamia maneno haya!
 

sizitaki mbichi hizi! Kama lowasa Ni fisadi kwanini hamjampeleka mahakamani??? Kumbe chama cha majambazi (CCM) kinafuga mafisadi!!! Baba riz na mwanae wamechangia tz kuwa maisha magumu kwa kujilimbikizia Mali huku wengine tunaishi kwa shida! Makufuli Ni hizi kubwa kaminya mradi WA barabara mpaka barabara kujengwa nyembamba nayeye kujenga kebby's hotel bamaga na kumweka Malaya wake Dada kabula kuwa msimamizi ambaye alimwachanisha na mume wake na kumuhonga viwanja 3 vya serikali, upo hapo we kibaka wa panya buku wa Lumumba fc?? Bado Andrew chenge, Anne kilango, balali ambaye mmemficha na kutuaminisha amekufa!ccm Ni genge la wahuni ( wezi wa kura, wezi wa Mali zetu, wauaji, wahongo, wanafki,wala rushwa nk) RIP CCM wote mmeoza
 
kwanini asipumzike na siasa hizi tamaa zilimponza fisi ..umri ushaenda atulie ajikie mihera yake aliyoichuma kipindi cha utumishi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…