Lowassa apigwa shinikizo kali

Cha ajabu akibaki ccm haifi
Kila mtu sna haki ya kujiunga na chama chochote kwa wakati wowote
 




Napingana na wewe kwa nguvu zote.
Hii nchi ni ya demokrasia .Hizo siasa za kutishana zepitwa na wakati.
Na mpango wowote wa kumdhuru Lowasa utatibuliwa na Mungu mwenyewe. Kumbuka jinsi CCM walivyosubiri dili lao la kifo cha Lowasa kwa muda mrefu huku wakishangilia afya yake ikizorota lakini cha ajabu afya yake iliumarika kwa kasi kuelekea mchakato. Huu ni ushahidi wa kuona jinsi Mungu atakavyoiangusha CCM .
C CM ni chama kilichoumiza na kuwatesa watanzania wengi sana. Watu wamedhulumiwa sana ndani ya mfumo wa CCM . Watanzania wengi wanakilio kikuu kwa Mungu juu ya dhuluma za mfumo mbaya wa CCM.
Lowasa hana cha kupoteza ndani ya CCM kwa umri alio nao.
Hata Dr. Slaa alitishiwa maisha sana lakini mpaka leo yupo. Mrema mpaka ngozi yake imebabuka lakini yupo. Sokoine aliuawa na hakuna hatua zilizochukuliwa zaidi ya unafiki wa kumuenzi.
Loliondo watu wameporwa ardhi yao wakapewa wageni huku nyumba zao zikichomwa moto.
Bulyanhulu watu walipoteza maisha ,Mwembe chai waislam waliuawa ,Zanziba watu waliua kwa chuki za CCM,Mtwara ,Arusha n.k. Damu za watu wema za wazi zimejaa kupitia hiki chama cha kijani. Leo wanatudanganya kwamba Liwasa ni hatari kwa usalama wa nchi.

Sio kweli bali Lowasa ni hatari kwa ustawi wa CCM na dhulma zao.
Kitengo cha kuwatisha watu sasa basi. Wao nao sasa wajiandae kuishi kwa hofu. Haiwezekani nchia maakini kama hii tuendelee kutawaliwa na chama jimoja bila upinzani imara na wabunge wanaojitambua.

Lowasa atapata heshma kubwa akitoka hadharani na kujiondoa kwenye siasa za CCM.
Lowasa akiendelea kubaki CCM ni wazi kuwa atakuwa ni msaliti wa taifa hili na atakua amewasaliti watu waliosimama na kuonyesha ukiukwaji mkubwa wa kanuni uliofanywa na chama chake.

Kitengo maalum ndani ya CCM ni janga kwa taifa hili lenye mfumo wa vyama vingi. Hakuna mtu atakayeendelea kukubali Nape atumike kuchakachua kura za mamilioni ya watanzania watakaomchagua mpinzani kwa manufaa yake mwenyewe.

CCM walipaswa kumkatalia Lowasa wakati wa kuchukua form ili ajue kuwa hastahili. Walichofanya ni kutumia ubabe kumdhalilosha ili atakapotumia uhuru na demokrasia yake kwa wananchi basi watumie vitisho kumuogopesha.

Kuna uovu mkubwa uliojificha ndani ya CCM na sio kwa Lowasa kama mnavyodai. Lowasa kinachotumika ni ukanda anotoka na dini yake na sio vingine. Na wale waliotumia muda mwingi kumchafua wameaibika kwani nao wameambulia patupu.


Na bila shaka CCM mwaka huu itaaibika sana pamoja na kuanza kampeni mapema.
 
Big up mkuu.
Umetoa analysis nzuri sana
Kama kweli CCM Wanaona lowassa akihamia Cdm itakufa hawakuwa na sababu ya kuanika siri zao hadharani.
Wangepiga kimya ili wapite hapo hapo

Eti fisi amshauri mwenye bucha, inaingia akilini kweli
 
mapanya buku yako lumumba maandakini.Mkwere kumuachia furushi la kinyesi makomeo hali mbaya
 

Ni aheri mtu afe akiwa anapigana kuliko kuchinjwa ukiwa umepiga magoti
 
Haya haya hayaaaaaaa.....mambo yanazidi kunoga....na october isifike mapema ili wananchi wa tanzania tumjue kwa undani yule aliyetuadaa na matumaini ya kufikirika 2005
 
Ccm hawaz kuishauli chadema ...
 

Waaapi wewe..gamba lazma mng'oke tu hizi sound zako hazimwingii mtanzania yeyote mpenda mabadiliko...kizazi tata..kizazi cha facebook na instag n.k
 
Mwacheni aende alafu watanzania tutajua namna ya kuwafanya Ukawa make tamaa zao hizi hazitusaidii ..sikuwahi kuwa CCM ila itabidi kwanza niichane kadi ya CDM na kuachana na siasa ila ntakuwa mpiga kura huru na mwaka huu rasmi ntawapigia CCM tena kwa hasira kuanzia kwa diwani mpaka kwa rais
 
Yaan chadema hawa hawa walio tuaminisha kua eddo ni mwizi watamchukuaaa?????? Sio rais
 

Ng'ooka hata mda huu mkuu wala hutaathiri chochote..CHADEMA iko hivi..wakitoka HAMSINI TAPELI...WANAINGIA MIA WAAMINIFU..yaani Chadema ni mtambo wakugeuza fikra mbovu nakuwa safi zenye kufaa kutumika mahala popote..yaani ni hivi..Chama cha Demokrasia na maendeleo ni makini,chaweza mbadilisha mwenye roho mbaya nakuwa MTU mzuri...
 
Una Hekima Sana.
 
Rais anayekuja atakuwa amewatendea haki watanzania akiliunganisha hili fisadi na kina Mramba huko jela.

unamuita huyu fisadi na aliyekuwa kiongozi wake unamuona sio fisadi..? mkubwa wa nchi mwenyewe ndiye alimuagiza huyu...fungukaa ufahamu
 
Huyu mzee kaiba pesa zetu sana halafu kachukua pesa nyingi sana kwa watu akiwaahidi kuwasaidia kwenye biashara zao na wengine kuwapa madaraka ,

Kwahiyo alijua kabisa akiwa Rais ataweza kurudisha zile pesa zote alizochukua kwa watu na yeye kuendelea kujinemesha zaidi kimaisha kwa kuendelea kututuibia.

Nadhani tusicheke naye huyu mtu yeye afanye lolote analotaka kufanya halafu tukutane kwenye sanduku la kura tumtandike tena mwizi mkubwa huyu.
 

Kwan Wew Unauhakika Gan Kama Lowassa Ni Msafi?Na Magufuli Co Msafi Kvp,toa Ushahid!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…