Ieleweke kuwa hii ni bila hata kuleta msanii wala hakuna hata aliyeletwa na bajaji. Ni tofauti na wenzetu hawafanyi mkutano bila wasanii 20 na malori 50 yanayopiga ruti kumi kumi za kubeba watu. Angalia gharika lililoikumba babati jana. Watu wanafurika kwa mioyo yao. Mji ulisimama kwa saa 4.
Jana nimehakikisha najifunza namna ya kupiga kura ili by any means nisiharibu kura yangu.Naomba wana mabadiliko woote tuhakikishe wenzetu wanajua hi ndo kampeni yetu.Na wakumbusheni watu wasichore maskio kwa magufuli
Eeee Mungu mwenye mamlaka juu ya mbingu na nchi na vyote vilivyomo. Tunakushukuru kwa utukufu wako unaozidi kujidhihiri mbele ya nyuso wa watanzania wako!
Tunakuomba mamlaka yako iwapatie watanzania hawa haja ya kilio chao! Amen!
yani nmeandaa mafataki yangu ili tar 25 night akitangazwa EDO ameshinda nianze kuyalipua kama mwaka mpya vlee. ntakuwawenye furaha sana siku mkoloni mweusi tukimtoa madarakani