Lowasa katumwa na Mungu kutukomboa watanzania
Hovyo sana
Lowasa katumwa na Mungu kutukomboa watanzania
lowasa katumwa na mungu kutukomboa watanzania
anakubalika sana,edo anatosha
idadi ya wadhamini inaashiria nini? Neema?
Mahakama ipi? Ikiwa jaji anataka kujukua fomu ya urais,
Mahakama ipi ikiwa huo mgao jaji nae kala % zake?
Wanaohitajika ni kama 90 tu. hao wengine ni mbwembwe za mafisadi
Lowasa katumwa na Mungu kutukomboa watanzania
Pamoja na Lowassa kukusanya umati mkubwa wa watu alipoondoka,wapambe wake walibaki wakakabwa na wananchi waliokuwa wanadai wapewe chao,suala hilo lilikuwa linajadiliwa leo asubuhi na kituo cha Bomba fm.
Lowasa katumwa na Mungu kutukomboa watanzania
Idadi ya wadhamini inaashiria nini? Neema?
Oh alitembeza ela balaaa elfu 40, 30, 20 zilitolewa balaaa madereva bodaboda ndo walifaidi sn
Wanaohitajika ni kama 90 tu. hao wengine ni mbwembwe za mafisadi
Huyu mwizi kamwe hawezi kuwa raisi.kweli watanzania tumerogwa[/QUOTE)
Wala msipate shida! Watu waliambizana twendeni tukachukue pesa.......Si mnajua njaa. Hata mie ningeenda kuvuta mshiko
Lowasa katumwa na Mungu kutukomboa watanzania
Oh alitembeza ela balaaa elfu 40, 30, 20 zilitolewa balaaa madereva bodaboda ndo walifaidi sn