Lowassa apata ugeni wa Wafanyabiashara

Lowassa apata ugeni wa Wafanyabiashara

Kama Dr.Tulia tu kawakimbiza huku mnafunika Midomo kwa Mikaratasi Dr.Magufuli mtamuelewa kweli?
Serikali ya Magufuri imesheheni Ma Dr na ma Prof. ww unadhani hawa wenye elimu ya kuunga unga watamwelewa ! Ukawa bwana mnantia aibu
 
Pohamba naomba urudi kwenye thread zinazomhusu Magufuli ukasaidie kutafsiri kauli zake.
Maajabu ya dunia, mtu anaongea kwa Kiswahili halafu mnamsaidia kutafsiri kwa kiswahili.
"Polisi atakayemnyanganya jambazi siraha asiperekwe mahakamani bali apandishwe cheo haraka" mpaka leo nasubiri tafsiri
 
Yani huyu mzee ana nyota ya kupendwa sana.
Mji wake hauwezi kulala njaa.
Tizama ndugu hapo sion nyota ya kupendwa inapendwa pochi watu wanajua huyu ndugu ni mpenda sifa kwa hiyo wakienda kumuona hawaondoki bure!!! fungua macho
 
Nimewaangalia sana hao wafanyabiashara, nimebaini kuwa wengi wao kama si wote wanatoka kanda ya kaskazini. Ni jitihada za kumfanya aendelee kuelea lakini ukweli anazama, no way.
 
Yani kuna mizimu iko Lumumba ikisikia tu, 'LOWASSA' inafufuka!
Leo mpaka FAIZA FOX kaja.
Na huyu kenge 1954 alinipigaga mkwara wa cybercrime nikajua nshadakwa na polisi, kumbe ni mganga njaa tu hapo Lumumba.
Jamani kasaidieni kutafsiri kauli za Magu kwenye thread zinazomhusu.
Mzungumzaji mswahili, wakalimani waswahili!
Hiyo ndio Lumumba bwana!
Kutafsiri au kuwaelewesha nyie wabadilisha maneno? Mkiambiwa leteni ushahidi mbioo
 
alituambia Jakaya kuwa alipata habari jamaa kauza mpaka nyumba. kwani hayo mapesa aliyapeleka wapi kama siyo kwenye kampeini. kipindi kile chadema ilikuwa dhohofuli hali. bado kidogo wamfukuze, chama kiliyumba. mpaka kampeni nadhani zilisimama kwa muda na zikawa zinafanyika kila baada ya siku mbili tatu. sio kila siku
Kwahiyo aliwambia ameuza nyumba kwajili ya kampeni? Kwani kampeni anayetoa hela ni nani?
 
Wawe walipa kodi wazuri tu!
Mkisharuhusu kuganywa na kodi inagawanywa! Usitarajie makusanyo kwenye mgawanyiko huu mnaoushangilia kwa kuwahamasisha makapteni wa migawanyiko kuwagawa wananchi!
 
hahaha... huyu baba.. ataandikwa kwenye historia.. yani bado anapendwa kiasi hiki
 
TRA wafuatilieni hao.Wanalipa kodi vizuri? Je wana mashine za EFD?
 
Back
Top Bottom