Lowassa apata ugeni wa Wafanyabiashara

Lowassa apata ugeni wa Wafanyabiashara

upload_2016-6-25_21-3-39.png
ni hatari
 
Ni lazima afarijiwe kwa namna hiyo really his capatical was almost to cut of
 
Yani kuna mizimu iko Lumumba ikisikia tu, 'LOWASSA' inafufuka!
Leo mpaka FAIZA FOX kaja.
Na huyu kenge 1954 alinipigaga mkwara wa cybercrime nikajua nshadakwa na polisi, kumbe ni mganga njaa tu hapo Lumumba.
Jamani kasaidieni kutafsiri kauli za Magu kwenye thread zinazomhusu.
Mzungumzaji mswahili, wakalimani waswahili!
Hiyo ndio Lumumba bwana!
 
mzee lowassa alikuwa na moyo wa kuchangia pesa nyingi sana, siku hz sijuw vipi!!
 
Jamani hebu tuulizane huyu mzee uraisi mbona kaushupalia hivi.kama angeshinda nchii ingeuzwa mchana kweupee.
 
Wafanyabiashara wenyewe wanafanana na juma haji duni na taarabu yake ya mahabaa.
 
Kwani hakushinda? kura zake si mlizihujumu hivi hivi.
 
Siku hizi ni mwendo wa kutembelea Mayatima, kutembelewa na Vijana wafanyabiashara, Zile zama za kuhudhuria Maharambee na Kumwaga Mamilioni Makanisani,misikitini,kwny Vicoba zimekwisha hazijirudii tena.
Hayo yanafanyika MTU akiwa CCM ukiishaingia CDM hamna hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom