Lowassa apata ugeni wa Wafanyabiashara

Lowassa apata ugeni wa Wafanyabiashara

Kwani hakushinda? kura zake si mlizihujumu hivi hivi.
ndivyo ulivyodanganywa ukadanganyika! ukitaka kujua details uliza waliokuw mawakala wa chama. watakupa ukweli. achana na siasa za longolongo hizi na kupeana mioyo bila sababu
 
A
Kwani hakushinda? kura zake si mlizihujumu hivi hivi.
Alipigwa mbele ya wasimamizi wa kimataifa uchaguzi ulikuwa huru na haki.au labda yale mafuriko ndio bado yanakusumbua ile ilikuwa zuga au huwajui wabongoo.
 
Mzee wetu kama ndio mbinu ulioona ya kuwa jamaa akiwa huku na wewe upo huku ili heading zitawale ni ndoto kuingia kulee,jiamini usitishwe na zile tafiti fake!
 
Siku hizi ni mwendo wa kutembelea Mayatima, kutembelewa na Vijana wafanyabiashara, Zile zama za kuhudhuria Maharambee na Kumwaga Mamilioni Makanisani,misikitini,kwny Vicoba zimekwisha hazijirudii tena.

bado anaendeleza usanii..sasa mfanyabiashara unamuona Lowasa kwa lipi? hana ubavu hata ndani ya cdm..sasa hivi njaa kali anashugulikiwa kimya kimya
 
Hawa walimchangia sana kipindi cha kampeni kwa minajili kuwa akipita watakuwa huru kufanya biashara bila kubughudhiwa masuala ya kodi wala nini..
 
Jamani hebu tuulizane huyu mzee uraisi mbona kaushupalia hivi.kama angeshinda nchii ingeuzwa mchana kweupee.

Kweli mkuu maana matajiri wangeendelea kuwa juu na untouchable, maskini ungeendelea kuwa maskini ,
 
Lowassa ana akili kuliko baba yako Na mama yako kambale wewe acha utoto Pohamba
 
Siku hizi ni mwendo wa kutembelea Mayatima, kutembelewa na Vijana wafanyabiashara, Zile zama za kuhudhuria Maharambee na Kumwaga Mamilioni Makanisani,misikitini,kwny Vicoba zimekwisha hazijirudii tena.
Subir kijana watu wameficha makucha ficha maneno ya akiba.
 
Aliyekwambia alitumia pesa yake ni nani?
alituambia Jakaya kuwa alipata habari jamaa kauza mpaka nyumba. kwani hayo mapesa aliyapeleka wapi kama siyo kwenye kampeini. kipindi kile chadema ilikuwa dhohofuli hali. bado kidogo wamfukuze, chama kiliyumba. mpaka kampeni nadhani zilisimama kwa muda na zikawa zinafanyika kila baada ya siku mbili tatu. sio kila siku
 
Back
Top Bottom