Lowassa apata ugeni wa Wafanyabiashara

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Wafanya biashara wa kata ya Kisutu wamemtembelea siku ya leo.

Nimefurahi kupata muda wa kubadilishana mawazo na vijana hodari wanaojituma katika kazi.
Nawatakia kila la kheri katika shughuli zao za kimaendeleo.
 
Attachments

  • 13521879_1112333012166620_2269571209283037008_n.jpeg
    8.6 KB · Views: 87
  • 13495070_1112333005499954_5278809325159536605_n.jpeg
    7.4 KB · Views: 78
Siku hizi ni mwendo wa kutembelea Mayatima, kutembelewa na Vijana wafanyabiashara, Zile zama za kuhudhuria Maharambee na Kumwaga Mamilioni Makanisani,misikitini,kwny Vicoba zimekwisha hazijirudii tena.
 
Naona umeanza kuweweseka
 
Pohamba naomba urudi kwenye thread zinazomhusu Magufuli ukasaidie kutafsiri kauli zake.
Maajabu ya dunia, mtu anaongea kwa Kiswahili halafu mnamsaidia kutafsiri kwa kiswahili.
Kama Dr.Tulia tu kawakimbiza huku mnafunika Midomo kwa Mikaratasi Dr.Magufuli mtamuelewa kweli?
 
Wafanya biashara wa kata ya Kisutu wamemtembelea siku ya leo.

Nimefurahi kupata muda wa kubadilishana mawazo na vijana hodari wanaojituma katika kazi.
Nawatakia kila la kheri katika shughuli zao za kimaendeleo.

Fisadi Lowasa ni narcissist !​

Safi sana kwa taarifa. Mungu amjalie afya njema. Na wagombea wengine kama akina Hashim Rungwe Spunda wakitembelewa tujuzane pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…