Lowassa apaishwa BBC,atakiona cha mtema kuni

Hatutishki kwa kauli za kitoto, tunamsubr na mtema kuni wake
 
Hujaeleza atakiona vipi hicho "cha mtama kuni" zaidi ya kupwapwaja tu kuwa "mwenyekiti"kasema.Hivi umeshikiwa akili na mwenyekiti?? Mtoto wako anakuuliza maswali unashindwa kumjibu halafu unataka mwanao akuamini!!Atakuamini vipi? Hebu soma kichwa cha habari hapo juu na ulichokiandika! Shirikisha "ubongo"unapoandika kitu.
 
Niliangalia zote mbili, Magufuli akisema, "Sijaona wa kunishida!" na Lowasa akisema, "Oktoba 25 tunachukua ushindi asubuhi na mapema!" Nikaona kama kipenga cha Kampeni kinakaribia, shauku yangu ikaongezeka. Tuaona na kusikia mengi!
 
Watanzania ambao bado wamefumba macho na vitu viko wazi ujue ni washabiki tu,na umasikini wameuzoea
 

unaongelea hawa hawa watoto wa divishen V na C ya kuanzia 35?!!! hajaanza kwenda gym na kwenye massage avutie warembo ama the other way round?!!
 
kikwete ampanika mapema sana
hata akimleta mtema magogo ccm kwishney
 

Bora ungetii kiu ya mwanao; ukamwambia kwamba katika hali ya kawaida Mwenyekiti wenu ni habitual mropokaji! Kura ya maoni iko pale pale! Patupu! nina orodha ya wauza mihadarati wote nchini, patupu! Kinara Wa majangili yupo pale Arusha! Patupu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…