Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

Haya makanisa ni ya uwongo. Makanisa tengeneza pesa. Ni wazushi. Wako sawa na mroho ambaye ata ukikipitisha chakula ma.takoni atakula tu.
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

Nafikiri mwenye ushamba ni wewe kwa kutojua kuzomea ni moja ya kufikisha ujumbe kuwa jamihi hamkubalian na huyo mwana siasa,au kama hauna huo ushamba basi umekua mvivu katika kuushughulisha ubongo wako hata kidogo katika siasa za dunia hasa nchi zilizoendelea kiuchumi na hata kifikra pia,hv haujuhi kuwa wa kina Tony Blair,George Bush,Prescout(Mr. 2 Juguar),na viongozi wengine wengi tu walishazomewa vya kutosha na hata wengine kutupiwa mayai viza?shirikisha ubongo mkuu
 
CCM haina tena hata nguvu ya kuzomea mtu mkuu.Iko hoi bin taaban!
sikubaliani na wewe,,,uhoi ni upi,,,,mtandao wao unaujua vyema,,,,,,sema watu wameanza kuelewa na kujaa ujasiri inasaidia lakin hakuna kujifariji hapo,,,,ghasia aliwahi sema hatishiwi nyau kuwa mtandao alojenga miaka ivurugwe na lipumba kwa siku tatu,,,,merry nagu akasema hawezi vurugwa na mbowe kwa ziara ya chopa ya siku moja,,,atavuruga ataondoka anabaki na watu wake,,,,,,,,cdm,,,,inavyokua kwa kasi,,,iajiri vijana wasomi,,wanasiasa jasiri,,wawe makatibu watendaji wa majimbo,wawezeshwe,,wajenge mfumo imara wa chama kila jimbo,,,waigawanye nchi katika majimbo ya kichama,,,kama sera ilivyo,,,,,,,wale vingozi wa kitaifa wagawanywe wakaongoze majimbo hayo,,,,magavana wa kichama,,,,,ili kutoa nafasi ya kurecruit wengine na kuwafunda kuwa wafia chama,,,,,na kutoa nafasi zaidi za wapambanaji kuwa utilized,,,,,,na hq kuto banch na kukosa kazi na migogoro kuibuka,,,,,,mie si jabobea ni ushauri tu,,,,,,,,,,,,,,:help:
 

Mifumo ni hatari sana! fikiri mara mbili mbili unapoadvocate mfumo. ndio uliotufikisha hapa tulipo.
 
Tunduma hakuna wana jf, kama mpo tufafanulieni mlimaanisha nini mumpigia miluzi mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya ulinzi na usalama?

mkuu hapa tunduma ccm ni kama laana haitakiwi hata bure.. uwe kiongozi au mwananchi wa kawaida kuzomewa ni vilevile...tunduma wanajiamini sana na wengi wao ni wafanyabiashara hivyo hawatishwi chochote na serikali...kumbuka Devid Silinde anakuja kutangaza kugombea ubunge akitokea chuoni alikuja na nauli tu gharama zote ni wanatunduma kuanzia magari,vipasa sauti,kula na kulala bure na kuwalisha wasimamizi wa kura ambao wengi wao ni wanafunzi aliotoka nao chuo.alikuja kikwete akazomewa, akaja mama Salma huyo ndio alikwepa na njia kabisaa alipita ya pembeni na mji,ukaja mwenge wakasema ni uharibifu wa pesa za uma na chanzo cha kuenea kwa ukimwi nao ukapitishwa pembeni ya mji tunduma haukusimama kabisa,akaja waziri wa mambo ya ndani na msururu wa mapolisi bila kusahau ffu akazomewa na kuulizwa kwa nini anafanya shughuri za chama na magari ya serikali,akaja makamu wa rais kuzindua soko akazomewa na kuulizwa mbona walipounguliwa hawakuonekana na sasa anakuja kuzindua soko la kisasa ambalo serikali haijachangia hata mfuko wa simenti.? Ndio iwe lowassa ambae ana kashfa mwili mzima.? Kwa mtiririko huo utaona cha kuwatisha wanatunduma hamna.
 

Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA
Hapo kwenye red. inamaana alipata vitisho/
wangembonyeza kidogo kuonyesha kuwa watu wamechoka na uchafu wake na wa serikali yake
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit
Hao wanaccm utawapata wapi siku hizi? wote wapo kimya hawathubutu hata kuvaa zile uniform zao walizopewa 2010 labda uende Mtwra, lindi, moro
 

Mkuu, huu ndo unaitwa uchambuzi yakinifu. Nimeupenda. Nadhani ujasiri huu pia wameambukizana kutoka Zambia, itaendelea kupanda kutoka nyanda hizo mpaka dodoma. Hela zenu tunachukua na kura hatuwapi!
 

weka basi kapicha tuoshe macho!!!
 
Loooooo kazi kweli miaka hii, CCM ilikuwa enzi za Mkapa bwana siku hizi wameshakichojoa sababu ya kuwapa uongozi kina yehe
 
Safi sana wanatunduma hayo majizi dawa yao ni kuwatoa mkuku tu, tumechoka kufanywa wajinga na hayo majizi ya ccm.
 

Nimeupenda uchambuzi wako
 

Ushauri mzuri sana wa kujenga mkuu.
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

Hao wa kuwazomea CDM watoke wapi labda geengurd.
Mbona thithiem haina watu cku hizi wamebaki vichwa maji kama wewe
 

Vidole viwili kumjulisha wana mimba ya mapacha... Lakini Lusinde kweli dk mbili mbele
 
Chadema ina kundi kubwa la vijana wasio wastaarabu na wengi ni wavuta bangi na madawa ya kulevya na sasa wanangoja chadema iingie madarakani ili wapewe ajira na kuruhusiwa kuvamia migidi na kuiba madini......ole wenu chadema mje mshindwe kuwapa hawa wahuni matarajio yao mkiingia madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…