Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

Hivi huyu Lowasa hizi pesa anazogawa makanisani kazitoa wapi? Je, atazirudishaje? Ama ni mwema kiasi hicho kweli? Anyway, yangu macho.
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit
tangu lini wezi wakajipanga barabarani? labda mjipange vichakani, kwanza hamna muda huo
muda wote mnawaza kuiba mkiongozwa na mkulo,kaiibia nchi mpaka ameshindwa kubadilisha hela
mpaka sasa tunatumia hela za zamani na mpya. aibu gani hii kwa taifa?
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

Dogo chunga mienendo na mdomo wako usije nisabbsha ban.Ccm hamna huo uwezo,kwsha habar yenu.
 
nilitegemea awe ameonja hata jiwe maana hawa ni adui wataifa letu piga ua hatuwataki hata nikisikia amekufa ni kama idd amin hata siwezi huzunika maana wametuibia vya kutosha.
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

Hivi wewe ni wa kiume au wa kike?
 
Nimejaribu kuitafuta hiyo nguvu ya Chadema sijaona kitu zaidi ya watu kukaa kando kando ya barabara nakuonyesha alama ya vidole.
Carcass at work! vipi nasikia kamanda Millya kaondoka na mamilioni ya UVCCM. Binafsi namshauri kama kweli ameyachukua asiyarudishe kwa sababu hata firauni wetu wa ikulu kawatorosha twiga wetu na hajawarudisha hadi sasa.
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit
Ulie tu. CCM kuna watu wana uwezo kufanya hivo?
 
sikubaliani na wewe,,,uhoi ni upi,,,,mtandao wao unaujua vyema,,,,,,sema watu wameanza kuelewa na kujaa ujasiri inasaidia lakin hakuna kujifariji hapo,,,,ghasia aliwahi sema hatishiwi nyau kuwa mtandao alojenga miaka ivurugwe na lipumba kwa siku tatu,,,,merry nagu akasema hawezi vurugwa na mbowe kwa ziara ya chopa ya siku moja,,,atavuruga ataondoka anabaki na watu wake,,,,,,,,cdm,,,,inavyokua kwa kasi,,,iajiri vijana wasomi,,wanasiasa jasiri,,wawe makatibu watendaji wa majimbo,wawezeshwe,,wajenge mfumo imara wa chama kila jimbo,,,waigawanye nchi katika majimbo ya kichama,,,kama sera ilivyo,,,,,,,wale vingozi wa kitaifa wagawanywe wakaongoze majimbo hayo,,,,magavana wa kichama,,,,,ili kutoa nafasi ya kurecruit wengine na kuwafunda kuwa wafia chama,,,,,na kutoa nafasi zaidi za wapambanaji kuwa utilized,,,,,,na hq kuto banch na kukosa kazi na migogoro kuibuka,,,,,,mie si jabobea ni ushauri tu,,,,,,,,,,,,,,:help:

Sasa kama hujabobea unashauri ni jf?!! Wewe unajijua sio great thinker baki tu facebook na na kwenye viwe vya kahawa sawa mama
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

Kwani nani kawazuia ccm? Acheni woga hata Mungu hapendi mwanadamu mwoga na endapo ni mwoga ana tatizo,ccm mna matatizo ndiyo maana hamuwezi shamrashamra za CDM.KAMA MUNAWEZA KARIBUNI KWENYE MCHEZO.
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

aaaaa umesahau ,mara hii wabunge wa ccm walipo wazomea wa cdm tena na matusi kibao ndani ya mjengo......

 
usiseme wana ccm sema wezi wa raslimali za nchi tukiamua kuzumea........ we ni gamba!!! shut up. Mda wenu unahesabika!! hamna lenu tena mmesha wahadaa watz vyakutosha. We are now drug you to hell...
 
hivi huwa mnalipwa shilingi ngapi kuksifia EL nyie vilaza????? Kweli we ni mtu aliyehai ila unaubongo wa marehemu!!!! huoni hata aibu kuposti ujinga kama huu in public!!!

ULAANIWE WE NI KIZAZI CHAKO
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

Kesi ya mwarabu aliyempiga kiatu George W Bush alipofikishwa mahakamani alieleza kuwa ni utamaduni wa wao kuonesha kutokuridhika kwa kurusha kiatu badala ya kutumia bunduki. Lakini pia angekuwa na bunduki pale mlangoni angekataliwa kwa hiyo alionesha kutokuridhika kwake kwa kuvua kiatu na kumrushia Bush.

Waliosoma Udsm wanafahamu kama mtu akiongea yasio na mshiko badala ya kumzomea wanapiga makofi hadi anaacha mwenyewe. Bila shaka CDM nao wameanzisha utamaduni wa kuonesha kutokuridhika kwa staili hiyo kama na CCM mtakuja kwa staili ya namna hiyo hiyo sawa tu, kila chama kinajenga utamaduni wake wa bila kudhuru wa kuonesha kutokuridhishwa na mfumo fulani.

Kwa hali ilivyo naona hii ni nafuu zaidi kuliko kutuma FFU na JWTZ mitaani Mbeya kutawanya wamaching tu!!!! Kwa nini nao wasijipange na kuwazomea tu bila ya kuwabughudhi? Kwa sababu hiyo kwa wakaaji wa Tunduma mi naona ni credit saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!
 
Mji wa Tunduma jana ulichafuka baada ya Waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa kulakiwa na umati mkubwa wa wafuasi wa CDM waliokuwa wamejipanga kando kando ya barabara.Wananchi hao walikuwa wakipiga miluzi kwa sauti kubwa na kuonyesha alama ya vidole viwili juu ishara ya chama hicho.
Lowassa alikuwa akienda kwenye harambee ya ya kanisa la EAGT ambapo alichangia sh milioni kumi.
Kutokana na sintofahamu hiyo kulikuwa na ulinzi mkubwa wa polisi ambapo Lowassa alikuwa na msafara mkubwa wa viongozi wa serikali na chama cha mapinduzi.Kutokana na hali hiyo Lowassa alichelewa kufika kwa wakati kwenye harambee,kwani aliwasili saa 8 mchana badala ya saa 5 asubuhi.
Akizungumza kwa kifupi na waandishi Lowassa alisema alipata majaribu makubwa safarini lakini Mungu alimfikisha salama.Alidai alisaidiwa sana na mkurugenzi mstaafu wa usalama wa Taifa Apson Mwang'onda.

SOURCE:NIPASHE JUMAPILI.

Hivi kujiuzulu nacho ni cheo? Mtu akishajiuzulu si cheo chake kinaishia/kinakomea hapo? Sasa hichocheo cha 'waziri mkuu aliyejiuzulu' kinatoka wapi. Jamani watanzania acheni ukasuku; kama kuna mwenye kujisikia vibaya kwamba atakuwa amemtendea vibaya (offend) Lowasa kwa kutotanguliza cheo chake, basi aanze na 'Mbunge wa Monduli' ......
 
Back
Top Bottom