KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,271
Heshima kwenu Wanabodi, Jana Gizakuu alianzisha Thread hapa yenye kichwa cha habari Lowasa Hoi Tena na katika maelezo yake ameeleza kuwa alipitishwa airport akirudishwa kwenye matibabu kutokana na afya yake kuzorota.Thread yake ilipata wachangia wengi mi nikiwa mmoja wapo.Ila chakushangaza katika pitapita zangu katika vipasha habari nimekuta na hii picha ambayo inaonyesha kuwa lowasa yupo moroco na ni mzima wa Afya.saa hii inacontradict na thread ya gizakuu!
View attachment 53097
Mytake:Thead kama hizi ambazo habari zake hazina ukweli kwa kiasi flani inashusha hadhi ya JF.Plz mods ondoa hiyo Thread.
View attachment 53097
Mytake:Thead kama hizi ambazo habari zake hazina ukweli kwa kiasi flani inashusha hadhi ya JF.Plz mods ondoa hiyo Thread.