Ama kweli penye udhia penyeza lupia....yaani leo huyu Lowasa amekuwa lulu CHADEMA na amekuwa msafi kama theruji......wonders shall never end....
Hata mi nimebaki ninastaajabu sana. Hivi kweli hawa watu wanakaa na kujitathmini au wanafuata tu crowd mentality? It is becoming a little scary!
Mimi msafi. Kwani mimi nimefunguliwa mashtaka ya money laundering? Kwani mimi nagombea urais sasa hivi. Lowassa amesema kama kuna mjinga ana ushahidi aende mahamakani,24 hrs later mtu amekwenda mahakamani.
Ndugu zangu, maCCM hayaamiki kabisa...ni sawa na fisi mwenye njaa anayemfuata mtu nyuma akitegemea mkono udondoke apate kitoweo. Hawa mafisi ni wa kuwaogopa zaidi ya UKOMA!
View attachment 272531
kweli wakuu ulinz uongezwa kwa DR Slaa na familia yake maana sisiem watatafuta kuivuruga kupitia DR Slaa
Kosa limefanyika 2009. Lilikuwa in cold storage. Limeletwa katika foreground Lowassa alipoanza vitisho vyake.kwenda on TV kuwatishia maisha watu milioni 40.
Mkuu unamaanisha kuwa yule tuliyekuwa tukimpigia debe kuwa apelekwe mahakamani kwa ufisadi na ubadhilifu wa mali za umma huku tukijinadi kuwa tuna ushahidi wa kutosha leo hii tunapigia debe apewe ulinzi na sio kupelekwa jela............
Nadhani ushahidi anao Dk Slaa....maana yeye ndiye aliyenifanya niipende CHADEMA kwa kuthubutu kwake kuwaumbua MAFISADI......mkuu, ushahidi unao? peleka mahakamani.
Kosa limefanyika 2009. Lilikuwa in cold storage. Limeletwa katika foreground Lowassa alipoanza vitisho vyake.kwenda on TV kuwatishia maisha watu milioni 40.
Duuu,hiyo ndio itakuwa ni kihama cha mwaka,hapata kalika mkuu