Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
1.ESCROWFisad
Fisadi fisadi fisadi
2.EPA
1.ESCROWFisad
Fisadi fisadi fisadi
Hilo hawawezi kuliongelea kabisa hawa watafuna mirungimwenyekiti wa CCM ameshawaambia wanaCCM kuwa Lowasa bado ni tishio kubwa sana kwa CCM.
sishangai hiazi sarakasi.
Ana chuki dhidi ya lowasa kwa kuwa yupo cdm.Lizaboni nimekuwa nakufuatilia kwa muda mrefu namna unavyochangia post zako.
Nimegundua wewe mhafidhina kindakindaki wa chama cha mapinduzi,(jambo ambalo si dhambi,kwa mujibu wa katiba yetu).
Mara kadhaa umekuwa ukitumia reference ya mwembe yanga,(list of shame) kumnanga Lowassa kuwa fisadi papa (hapa pia upo sahihi kwa sababu walioorodhesha ile list of shame,ndiyo hao hao walio naye Leo).
Swali langu kwako leo hii ni kwamba,kama unaiamini list of shame iliyotolewa na chadema pale mwembeyanga,na walioorodheshwa walikuwa 11,baada ya Lowassa kuondoka CCM walibaki mafisadi papa 10 ndani ya CCM,nao mbona sikusikii ukiwashambulia!!?
Je,ni kujitia upofu, umewasahau, au una chuki kuu na Lowassa pekee??
Karibu kwa hoja Mkuu!!!
Ungekuwa wewe ni mmoja wa waendeshaji wa jf ungebakia na malumumba wenzako hapa jamviniUkiambiwa utoe ushahidi wa hizo usd 2m utautoa? Uzushi na kuchafua majina ya watu bila ushahidi kwenye mitandao ni cyber crime. Moderator don't allow such threads.
Nafsi zinawasutaMafisiem wanaogopa ata kivuli tu cha Lowassa maana wanajua uchaguzi uliopita walishindaje, na ukweli wa mambo wanajua mioyoni mwao.