Lowassa aondoke tu. Ni kauli ya vigogo wa CHADEMA

Lowassa aondoke tu. Ni kauli ya vigogo wa CHADEMA

I wish ningekua lowasa maana haiwez pita cku cja ongelew
 
Joining date yako ni kiashiria muhumu kwamba ndio kundi lileeeeeeee!

Last Activity:10 minutes ago
Joined:May 27, 2016
Messages:201
Likes Received:175
Trophy Points:60
Liked:0
Siasa sa kuandama watu zimmesha pitwa na wakati kwa sasa, tudadili namna gan tutamuunga mkono rais wetu kukabiliana na changamoto anazo kutana nazo kwenye uongoz wake mapema namna hii dhidi ya wasio litakia mema taifa letu achana na mambo ya kujadili watu
Mkuu watu ambao hawawezi kuona zaidi ya upeo wa pua zao wataachaje kujadili watu? Uwezo wao wa kufikiri na kuona mbali umeishia hapo.
 
bila kumtaja lowassa vijana wa ccm huwa wanauguwa uchi***zi maana alimuachiya kovu kubwa sana kwenye mfumo wa kumbu kumbu kwenye kichwa cha mwenyekiti wao jk
 
Kauli ya aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, Edward Lowassa, ya kwamba chama hicho ni cha kiharakati, inaonekana kuwakera wengi wa vigogo wakubwa ndani ya CHADEMA.

Mara kadhaa, kwa chini kwa chini na hadharani, Lowasa amekuwa akikiita CHADEMA chama cha kiharakati.

Mwanasiasa huyo ambaye katika kuusaka urais aliungwa mkońo pia na vyama vya CUF, NCCR Mageuzi na NLD, akiwa mto wa mbu, Monduli, Arusha hivi karibuni kwenye mkutano wa hadhara aliamua kupaza sauti kwa kuwaomba wananchi wa eneo hilo kumuunga mkono katika juhudi zake hizo za kutaka kukikiondoa chama chake kipya hicho kutokuwa chama cha kiharakati na kuwa chama cha siasa kwa madai ya kukiandaa kikamilifu kukamata dola mwaka 2020.

Uchunguzi uliofanywa na timu ya waandishi wetu kwa siku kadhaa sasa, umebaini kuwa kauli ya Lowassa ya kukiita chama hicho cha kiharakati kwa kiasi kikubwa inaonyesha kuwakera mno baadhi ya vigogo wahadhifina wa chama hicho kiasi cha baadhi yao kutokwa na kauli "Lowassa aondoke tu atuachie chama chetu cha kiharakati na uhanaharakati wetu".

Baadhi yao hao ,wakioneka kujawa na jazba, wamesikika wakisema: "Leo ndio amebaini CHADEMA chama cha kiharakati?

Wakati anakuja kutafuta hifadhi kwetu mwaka jana, hakuona CHADEMA wala viongozi wake kama ni wanaharakati, ila sasa?

Chanzo: Tazama
Bado Membe anahangaika na Lowasa badala atumie pesa zake Kwa maendeleo amekalia chokochoko juu ya Lowasa , Safari wanadunda hata waje na Uchonganishi wa kila aina , akina January Makamba wao wapo na Lipumba na tayari wamepiga pesa Kwa Ajili ya kuibomoa CUF , lakini Membe yeye kaamua kuwatulia akina Lizabon kuwachokonoa Chadema na Ukawa Kwa ujumla.
 
CHADEMA ni ile ya Dr Slaa ambayo kwa sasa ni CHADEMA ASILI. Hii ya sasa ni chadema lowasa ambayo haina sera yoyote baada ya kuwakumbatia mafisadi.
Dr Slaa ni Fisadi alipokea Dola milion 2 toka Kwa Membe akatoroka atakuwa anaiongoza chadema Asili ipi? Kwani wenzake aliwagawi hiyo pesa? Lowasa si Fisadi Richmond ni ya Kikwete nitajie kiongozi wa ccm asiye na Doa ,Yaani ccm msaaafi mwanzo mwisho ukimpata ujue Serikali itahamia Dodoma kesho tu.
 
Lowasa haondoki yupo chadema mpaka siku anaaga Dunia kwani Lowasa hamsunbui mtu , hagombanii cheo chochote makao makuu Hana anachowabana yupo katulia ingawa ccm bado wanaweweseka sana wakisikia Lowasa katulia anasoma hali inavyokwenda.
 
Hahaa hilo gazeti la Tazama bila kuandika habari kama hizo ......haliwez kuuzwa
 
Wamrudishie hela yake na interest juu.

TRA fuatilieni hayo mauzo ili kodi stahiki iingie serikalini.
 
Fisad

Fisadi fisadi fisadi
Lizaboni nimekuwa nakufuatilia kwa muda mrefu namna unavyochangia post zako.
Nimegundua wewe mhafidhina kindakindaki wa chama cha mapinduzi,(jambo ambalo si dhambi,kwa mujibu wa katiba yetu).
Mara kadhaa umekuwa ukitumia reference ya mwembe yanga,(list of shame) kumnanga Lowassa kuwa fisadi papa (hapa pia upo sahihi kwa sababu walioorodhesha ile list of shame,ndiyo hao hao walio naye Leo).
Swali langu kwako leo hii ni kwamba,kama unaiamini list of shame iliyotolewa na chadema pale mwembeyanga,na walioorodheshwa walikuwa 11,baada ya Lowassa kuondoka CCM walibaki mafisadi papa 10 ndani ya CCM,nao mbona sikusikii ukiwashambulia!!?
Je,ni kujitia upofu, umewasahau, au una chuki kuu na Lowassa pekee??
Karibu kwa hoja Mkuu!!!
 
Dr Slaa ni Fisadi alipokea Dola milion 2 toka Kwa Membe akatoroka atakuwa anaiongoza chadema Asili ipi? Kwani wenzake aliwagawi hiyo pesa? Lowasa si Fisadi Richmond ni ya Kikwete nitajie kiongozi wa ccm asiye na Doa ,Yaani ccm msaaafi mwanzo mwisho ukimpata ujue Serikali itahamia Dodoma kesho tu.

Ukiambiwa utoe ushahidi wa hizo usd 2m utautoa? Uzushi na kuchafua majina ya watu bila ushahidi kwenye mitandao ni cyber crime. Moderator don't allow such threads.
 
hahaa..watu wengine wanaandika bila kufikiria...ila sio mbaya huyu jamaa anaonekana ni timu ccm..achaneni nae
 
Mafisiem wanaogopa ata kivuli tu cha Lowassa maana wanajua uchaguzi uliopita walishindaje, na ukweli wa mambo wanajua mioyoni mwao.
 
Kauli ya aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, Edward Lowassa, ya kwamba chama hicho ni cha kiharakati, inaonekana kuwakera wengi wa vigogo wakubwa ndani ya CHADEMA.

Mara kadhaa, kwa chini kwa chini na hadharani, Lowasa amekuwa akikiita CHADEMA chama cha kiharakati.

Mwanasiasa huyo ambaye katika kuusaka urais aliungwa mkońo pia na vyama vya CUF, NCCR Mageuzi na NLD, akiwa mto wa mbu, Monduli, Arusha hivi karibuni kwenye mkutano wa hadhara aliamua kupaza sauti kwa kuwaomba wananchi wa eneo hilo kumuunga mkono katika juhudi zake hizo za kutaka kukikiondoa chama chake kipya hicho kutokuwa chama cha kiharakati na kuwa chama cha siasa kwa madai ya kukiandaa kikamilifu kukamata dola mwaka 2020.

Uchunguzi uliofanywa na timu ya waandishi wetu kwa siku kadhaa sasa, umebaini kuwa kauli ya Lowassa ya kukiita chama hicho cha kiharakati kwa kiasi kikubwa inaonyesha kuwakera mno baadhi ya vigogo wahadhifina wa chama hicho kiasi cha baadhi yao kutokwa na kauli "Lowassa aondoke tu atuachie chama chetu cha kiharakati na uhanaharakati wetu".

Baadhi yao hao ,wakioneka kujawa na jazba, wamesikika wakisema: "Leo ndio amebaini CHADEMA chama cha kiharakati?

Wakati anakuja kutafuta hifadhi kwetu mwaka jana, hakuona CHADEMA wala viongozi wake kama ni wanaharakati, ila sasa?

Chanzo: Tazama
Hiyo kitu tazama ndiyo nini?
 
Kiukweli lowassa anawanyima watu usingizi ingawa dola wamechukua, kampeni zimeisha tuangalie sukari inashuka vipi bei, sukari gulu yenyewe siku hizi pia haipatikani
Mkuu naona bei ya chumvi itapanda sasa hivi maana inatumika sana kwenye uji
 
Back
Top Bottom