Lowassa anaudhoofisha upinzani

Lowassa anaudhoofisha upinzani

Nani alikwambia Mbowe hana degree?

Nikusaidie kitu ndugu yangu, naona unachanganya elimu na uwezo. Mbowe hana degree na huo ndio ukweli. Lakini inapokuja suala la uwezo, Mbowe ana uwezo mkubwa kuliko hata wanaomiliki hizo degree na Phd's. Kwa hiyo penda kujifunza kuvumilia ukweli japo unauma.
 
Nashukuru kwa sasa Makamanda akili zimewarudi baada ya miaka 2, bahati mbaya meli imekwisha zama.Tulio pinga mwanzo Lowassa kugombea kupitia chadema mkatuita Mtaa Lumumba. Na laani hii ya kuwasaliti Watanzania iwatafune milele mpaka kaburini wala siwaonei huruma.
 
Lowasa hawezi kushitakiwa Mara kwa sababu ni mtu ambaye haikosowi Serikali Mara kwa Mara. Harafu vile vile lowasa hawezi kuisumbua Serikali sababu kuna asilimia 80 ya mshahara wake wa waziri Mkuu alioko madarakani, Pia Lowasa anaenda kwa mahesabu sana aliwambia muda huu sio wa kufanya siasa za harakati bali siasa za kimkakati.Kitu kikubwa hawezi kuvutana Na Serikali kwa ajili ya kulinda mali zake zilivyotapakaa nchi nzima, unamwona Sumaye walichomfanyia kuhusu mashamba yake?
 
Nikusaidie kitu ndugu yangu, naona unachanganya elimu na uwezo. Mbowe hana degree na huo ndio ukweli. Lakini inapokuja suala la uwezo, Mbowe ana uwezo mkubwa kuliko hata wanaomiliki hizo degree na Phd's. Kwa hiyo penda kujifunza kuvumilia ukweli japo unauma.
Napenda kujifunza, that is why am asking you to prove kwamba Mbowe hana degree. Utakuwa hunisaidii kama utasema tu Mbowe hana degree, utakuwa umenisaidia nini sasa?
 
Napenda kujifunza, that is why am asking you to prove kwamba Mbowe hana degree. Utakuwa hunisaidii kama utasema tu Mbowe hana degree, utakuwa umenisaidia nini sasa?

Ingia kwenye website ya bunge, angalia elimu ya Mbowe. Huko utakuta CV za wabunge wote. Halafu hili liko wazi hata yeye anakiri na hakuna popote aliwahi kusema anadegree.
 
Ingia kwenye website ya bunge, angalia elimu ya Mbowe. Huko utakuta CV za wabunge wote. Halafu hili liko wazi hata yeye anakiri na hakuna popote aliwahi kusema anadegree.
Kwenye tovuti ya Bunge sio chanzo cha kuaminika, wabunge wengi tu cv zao haziko kamili huko. "Hata yeye anakiri"- alikiri wapi? "Hakuna popote aliwahi kusema ana degree"- ni wapi aliulizwa kama ana degree au hana?
 
Ngoja nikurahisishie maana naona unatafuta kuwa mshindi. Ni hivi, hana degree hivyo sina cha kuonyesha kwamba anayo maana hana. Ila wewe unayedhani anayo ndio unithibitishie kwamba anayo. Ni kweli huko kwenye tovuti ya bunge sio chanzo cha kuaminika, lakini kama angekuwa na degree basi hiyo asingeacha kuiweka kwenye CV yake.
 
Tuko pamoja sana mkuu, wala isue hapa sio kutafuta mshindi na mshindwa, na hata ingekuwa hivyo sio kwa suala hili. Nilihitaji uthibitisho kwako kwa kuwa kuna mahali niliwahi kusoma kuwa aliwahi kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya juu. Kuna watu wengi wanasoma hadi phd kimyakimya, hivyo kwa kuwa wewe ulionekana kuwa na uhakika wa asilimia 100 kwamba Mbowe hana degree nilitamani kujua zaidi kutoka kwako. Anyway, tufunge mjadala huu. Asante mkuu!
 
!) Sababu sio mpenzi siasa za uanaharakati tokea CCM hivyo hta akikosoa anakosoa kiustarabu sana hivo serkali ya ccm wanakosa sababu ya kumkamata ila cku akiwa mkali kma kuhusu masheikh mbona alikamatwa??

2. Pale karimje mahafali ya CHASO Dar mbona alieleza umuhimu wa tume huru na haja ya kudai katiba mpya

3) Moles wake NEC walitolewa last minutes at the same tym tallying center za UKAWA zilivamiwa hapo kukawa no way out

4) Tallying center zilivamiwa hakuna data reliable sababu sio rahisi kupata hard copy za nchi nzima

5) obvious ni kupoteza muda tuu maana hta wakirudia NEC na CCM wameshajipanga so matokeo Yale Yale kma ilivokua Kenya

6. Hya madai umesikia wapi?

7. Kaufyata?? Kwani Ana cheo gani cha kimaamuzi chadema?? Kwanni hapa alaumiwe lowassa sio mboe au mashinji?

NIONAVYO hali ya kisiasa ya sasa imedhoofisha opposition wote tu wapi mnyika wapi mdee ??? Kuliko kurusha lawama kwa lowassa jiulize situation ya upinzani awamu hii

Ahsante

Lowassa alijiunga upinzani baada ya kudhulumiwa Urais ccm. Vinginevyo hakuwa na khoja ya kuwa mpinzani. Hivyo, ni masilahi binafsi siyo sera zimempeleka upinzani.

La ajabu, upinzani uchwara tulionao unamwona ni JEMBE!

Lowassa siyo mpinzani hata chembe ila anatumiwa na ccm kudhoofisha upinzani.

Maswali ya kujiuliza

1) Mbona hasumbuliwi kwa kuwekwa ndani na kufikishwa Mahakamani kama wengine?

2) Mbona hakerwi na mfumo mzima wa chaguzi zetu? Lini ulimsikia akihimiza mageuzi ndani ya sheria za uchaguzi hususani NEC?

3) Mbona hajawahi kuomba msamaha kwa kuwapotosha wapigakura alipowaahidi suala la kulinda kura ni lake aachiwe na baada ya kushindwa akadai aliibiwa?

4) Mbona hadi leo hajatoa majumuisho ya kura alizozipata hususani fomu za vituo na za majimbo kutuhakikishia ya kuwa alishinda kwa 62% kama alivyodai?

5) Mbona hadi leo hajaenda Mahakama kuu kuiomba kibali cha kuhesabu kura zote ili tujue mbichi ni zipi ?

6) Mbona hajalalama marekebisho ya sheria za mgao wa ruzuku zinazolenga kuusambaratisha UKAWA?

7) Mbona hadi leo kaufyata kupigania haki ya kikatiba ya upinzani kuendesha shughuli zao bila vikwazo na vitisho?

NIONAVYO

Lowassa ni CCM mole yuko huko kuwadhoofisha kwa kuwatupia changa la macho kwa kuboresha ruzuku ili wasahau mambo ya kimsingi kama NEC kututendea haki wapigakura.

Lowassa has too much to lose and too much baggage to carry to represent a lynchpin of change we are looking for....
 
Uwezo wa kushika dola hakuna hata ccm wakiondoa polisi na jwtz kama mnavyodai sanduku la kura bado saaana hilo halipingiki!
Ssa mlivamia tallyinga center ya ukawa ya nni ??kwanni mnaogopa tume huru? Msalimie jecha
 
Umesikia DR SLAA anauza Supermarket huko Canada?

Source:Gazeti la Mtanzania
 
Mmmh hapa napishana na ww maana kwa CV aliokua nayo magu ilihitaji mtu atakayegawa kura za ccm bila hivyo tungeangushwa kwa mbali sana

Kwa taarifa iwapo cdm wangemsimamisha Slaa ambaye tayari alikuwa kwenye mitazamo ya wengi, huenda cdm isingeshinda lakini ingepata kura nyingi zaidi za urais, ingepata wabunge na madiwani wengi zaidi ya sasa. Kubwa zaidi ingeiacha cdm imara na sera yake kubwa ya kupinga ufisadi. Leo hii isingekuwa imeharibu haiba yake ya kuwa chama safi kwani nacho sasa kinaonekana kinakumbatia wachafu na hakina ubavu wa kukemea ufisadi kama chama.

Unasema Mbowe hana nia ya kugombea urais , sio hana nia bali hana sifa za kugombea urais kwani ili ugombee urais unatakiwa wangalau uwe na degree kwa sasa kitu ambacho Mbowe hana.

Hilo la kwamba Mbowe na Kikwete ni wenyeviti bora hakuna anayekupinga kwani ni maoni yako. Kwa mtazamo wangu Mbowe amefanya vizuri sana kabla ya kosa la kiufundi la kumpokea Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais. Ila kwa sasa ni vyema akakaa pembeni aache taasisi imara ya cdm ikisonga mbele, yeye awe mshauri tu.
 
Yani utaona wanakamatwa watu kisa yeye...lakini yeye haguswi...
Bora umeongea wewe...labda utaeleweka...
Hakuna upinzani Tz...kuna waganga njaa
 
Msifikiri watu hawataki kukoment utumbo wenu, ni kwa vile tu naona mmetumwa tu ili watu wareact on stupidity. Huwezi kupambana na kichaa hata siku moja. Siasa za TZ sasa hivi ni ukichaa. Ni lazima mtu uwe mwangalifu sana.
 
Msifikiri watu hawataki kukoment utumbo wenu, ni kwa vile tu naona mmetumwa tu ili watu wareact on stupidity. Huwezi kupambana na kichaa hata siku moja. Siasa za TZ sasa hivi ni ukichaa. Ni lazima mtu uwe mwangalifu sana.
 
Mmmh hapa napishana na ww maana kwa CV aliokua nayo magu ilihitaji mtu atakayegawa kura za ccm bila hivyo tungeangushwa kwa mbali sana

Naheshimu mtazamo wako. Ila sina hakika ya moja kwa moja wapiga kura wengi kujali CV sana zaidi ya uwezo wa kuwashawishi jukwaani. Sipingi mtazamo wako.
 
Back
Top Bottom