Lowassa anaudhoofisha upinzani

Lowassa anaudhoofisha upinzani

Mwacheni wazir mkuu mstaafu akamilishe mission yake!

Hana mission yoyote, yeye kaja cdm baada ya kukosa nafasi ya kugombea urais huko ccm. Ila yeye sio aina ya mtu anayefaa kwa siasa za cdm, kwanza ni mzee na muda wake umeshapita, na toka alivyokuja hana jipya aliloleta chamani, labda wanaojua faida yake ni viongozi nyuma ya pazia. Mimi kama mimi siwezi kumuunga mkono Lowassa japo nitaendelea kuipenda cdm na nitaendelea kumpinga waziwazi bila kupepesa macho.
 
5) Mbona hadi leo hajaenda Mahakama kuu kuiomba kibali cha kuhesabu kura zote ili tujue mbichi ni zipi ?
Sheria za Tanzania ni tofauti sana na zile za Kenya. Matokeo ya urais hayahojiwi kwa namna yoyote ile mahakamani.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
7b3c3bba6d9c0891d8841f53a3d6814f.jpg
 
Hivi kwa mfano uchaguzi ujao jina lake lisipopitishwa na peoples kugombea uraisi na badala yake akajitokeza mwanachama mwenye nguvu na mvuto wa kisiasa zaidi yake ataendelea kubaki hapo peoples?
 
Lowassa alijiunga upinzani baada ya kudhulumiwa Urais ccm. Vinginevyo hakuwa na khoja ya kuwa mpinzani. Hivyo, ni masilahi binafsi siyo sera zimempeleka upinzani.

La ajabu, upinzani uchwara tulionao unamwona ni JEMBE!

Lowassa siyo mpinzani hata chembe ila anatumiwa na ccm kudhoofisha upinzani.

Maswali ya kujiuliza

1) Mbona hasumbuliwi kwa kuwekwa ndani na kufikishwa Mahakamani kama wengine?

2) Mbona hakerwi na mfumo mzima wa chaguzi zetu? Lini ulimsikia akihimiza mageuzi ndani ya sheria za uchaguzi hususani NEC?

3) Mbona hajawahi kuomba msamaha kwa kuwapotosha wapigakura alipowaahidi suala la kulinda kura ni lake aachiwe na baada ya kushindwa akadai aliibiwa?

4) Mbona hadi leo hajatoa majumuisho ya kura alizozipata hususani fomu za vituo na za majimbo kutuhakikishia ya kuwa alishinda kwa 62% kama alivyodai?

5) Mbona hadi leo hajaenda Mahakama kuu kuiomba kibali cha kuhesabu kura zote ili tujue mbichi ni zipi ?

6) Mbona hajalalama marekebisho ya sheria za mgao wa ruzuku zinazolenga kuusambaratisha UKAWA?

7) Mbona hadi leo kaufyata kupigania haki ya kikatiba ya upinzani kuendesha shughuli zao bila vikwazo na vitisho?

NIONAVYO

Lowassa ni CCM mole yuko huko kuwadhoofisha kwa kuwatupia changa la macho kwa kuboresha ruzuku ili wasahau mambo ya kimsingi kama NEC kututendea haki wapigakura.

Lowassa has too much to lose and too much baggage to carry to represent a lynchpin of change we are looking for....
Na kibaya zaid havai Gwanda na kwa nn ajione bora zaidi? Hili ni pandikizi kuuwa upinzani Mbowe shituka kaka mkubwa
 
Hana mission yoyote, yeye kaja cdm baada ya kukosa nafasi ya kugombea urais huko ccm. Ila yeye sio aina ya mtu anayefaa kwa siasa za cdm, kwanza ni mzee na muda wake umeshapita, na toka alivyokuja hana jipya aliloleta chamani, labda wanaojua faida yake ni viongozi nyuma ya pazia. Mimi kama mimi siwezi kumuunga mkono Lowassa japo nitaendelea kuipenda cdm na nitaendelea kumpinga waziwazi bila kupepesa macho.
Mbona ni wagumu wa fadhila mafuriko yote yale na amesaidia ruzuku ya chama kuongezeka!
 
Hivi kwa mfano uchaguzi ujao jina lake lisipopitishwa na peoples kugombea uraisi na badala yake akajitokeza mwanachama mwenye nguvu na mvuto wa kisiasa zaidi yake ataendelea kubaki hapo peoples?
Wewe hujui nguvu na mvuto wa lowasa ndio ulileta kura milioni 6?!
 
Mbona ni wagumu wa fadhila mafuriko yote yale na amesaidia ruzuku ya chama kuongezeka!

Kwa taarifa yako mafuriko kwa cdm hayakuwa adimu, na wengi walijiandikisha kwa hasira wakijua ccm wangejichanganya kumpa nafasi ya kugombea urais Lowassa, hapo ndo vitambulisho vya kura vilipopata jina kichinjio. Mafuriko ni adimu kwenye vyama vya kina Dovutwa, Cheyo na Mrema. Na mafuriko ya ccm ni ya kulazimisha kwa sababu ya kumiliki dola. Hakuna chochote alicholeta kipya hata asingekuja bado cdm ingepata ushindi mkubwa kuliko yeye alivyokuja, huo ni ukweli uliodhahiri. Lowassa angeenda UDP au TLP apate kura zile ningeamini na sio kupitia cdm.
 
Ila Magufuli kwa kukamata kamata na kunyima uhuru ndio anastawisha upinzani huku akitoa maagizo kuwa spika awashungulikie bungeni nae wakitoka huku nje atawashughulikia!!!

Hivi yule aliyekuwa akiripoti Central kila week kwa kosa la uchunguzi wa uchochezi baada ya kusema masheikh wa UAMSHO toka zanzibar walioshikiliwa Ukonga kwa miaka minne sasa huku kesi tunambiwa uchunguzi bado ni Baba yako ama baba watoto?!!!

Ushamwona mag kakamata mtu. Mada ya Lowasa jibu kuhusu Lowasa Mbona uko weak hivyo
 
Kwa taarifa yako mafuriko kwa cdm hayakuwa adimu, na wengi walijiandikisha kwa hasira wakijua ccm wangejichanganya kumpa nafasi ya kugombea urais Lowassa, hapo ndo vitambulisho vya kura vilipopata jina kichinjio. Mafuriko ni adimu kwenye vyama vya kina Dovutwa, Cheyo na Mrema. Na mafuriko ya ccm ni ya kulazimisha kwa sababu ya kumiliki dola. Hakuna chochote alicholeta kipya hata asingekuja bado cdm ingepata ushindi mkubwa kuliko yeye alivyokuja, huo ni ukweli uliodhahiri. Lowassa angeenda UDP au TLP apate kura zile ningeamini na sio kupitia cdm.
Slaa alishasema lakini mkampuuza,vp kuhusu ujio wa nyalandu mnadhani nae ni kama lowassa!
 
Hivi inamaana CCM wanawaonea huruma cdm au wamekosa hoja za kumtetea yule jamaa, urafiki huo umeanza lini tena?
 
Back
Top Bottom