Jigsaw
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,823
- 684
Hakika. Lazima UKAWA waisome namba mwaka huu
Sana kwa kweli. Maana UKAWA wana kazi kubwa ya kulipa madeni ya nchi hii na kuwapatia watanzania wa kweli kitu wana taka.
Hakika. Lazima UKAWA waisome namba mwaka huu
huyo ni sumaye au " propeller shaft " ndani ya ukawa.. Njoo ukawa upate raha wewe..!!
ahsante mie nahisi nshavutiwa ukawa lowasa akija huko mkoani kwetu naibwaga ccm nahisi kama nimeichoka kwa sasa, ninayo dhamira ya dhati ya kuamia ukawa soon
asante kwa picha mkuu , naambiwa hiyo ni juzi kampeni za ubunge jimboni , ccm hali ni mbaya kuliko tunavyodhani !
Mpango wa kuiondoa Ccm madarakani ulianza kitambo na hao unaowaona tulianza kuwatumia toka wakiwa ndani ya Ccm, Kwahyo hayo uliyoyaona ni moja kati ya mbinu tuliyoitumia na tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwavuruga[/QUOTE]Ama kweli ulimi ni kiungo kidogo tu ila kina weza kukugharimu.
ama kweli ulimi ni kiungo kidogo tu ila kina weza kukugharimu.
Hayaaaa Weeee !!! kwanini umetoa siri mkuu ?
Ohhh!!! Simtaji yule mwingine nakausha nisiharibu
Mbona siku zote anavyongea anainanga CCM? Utasemaje kuwa anakaa kimya?
Ama kweli ulimi ni kiungo kidogo
tu ila kina weza kukugharimu.
![]()
hivi sumaye haoni aibu?
Nilifikiri ungeshangaa kuona Mkapa aliyemuamini miaka 10 kisha kumuita Lofa