Lowassa anachanja mbuga mikoani peke yake

Kwa jinsi hali inavyokwenda, CCM hawana mpango wa kupambana na upinzani kabisa.Mpinzani wao n Lowasa,wengine wote kimya kimya kabisa.

Lowassa tu ndio anayezunguka nchi nzima,wao wanatalii Ulaya! Hawana vya kusema.Ni kama CHADEMA haipo kabisa.NCCR Mageuzi nao hoi.Coverage zote kwenye mitandao ya kijamii na media zingine ni LOWASSA,LOWASSA,LOWASSA! Mara yupo Mbinga, mara Iringa, mara Songea,mara Igunga nk.

Salum Mwalimu nae kapotea,Lowassa anachanja mbuga peke yake.
Salum Mwalimu hajapotea.Aliyepotea ni Beni wa Saanane.
 
Nguvu ya lowassa isidharauliwe nakumbuka huyu jamaa alivyoleta shida mwaka uliopita.
Kama kweli atasimama 2020 tusishangae ya Ghana yakatokea Tanzania sababu hata Nana Akufo ado aligombea zaidi ya Mara mbili na kushindwa lakini uchaguzi wa juzi wananchi wakamchagua.
Aya ukiamka utwambie
 
Product life cycle lowassa anajua umuhimu wa kufanya reinvention Ili kuendelea kutambulika kama mwanasiasa kwa makusudi ya kufikia malengo yake.

Never say never CCM inaanza ku lost touch na reality watu wanaoamini yeyote anaweza shika nafasi yoyote inampa matumaini Lowassa kama hali hii aitobadilika uchaguzi wa 2020 utakuwa mgumu sana kwa CCM wenzao washa andaa na strategy ya kuwavaa inavyoonekana.

Alalae usimuamshe....
 
hizi ni dalili za kuishiwa, kwanini usingetumia muda huu kumuandalia Wasira hafla ndogo kurudishwa uwanjani
Kipindi cha kudai Uhuru wasira yupo,Nyerere akatawala mda wote wasira yupo akaja mwinyi wasira yupo,akaingia Mkapa mzee wasira yupo ,kipindi cha kikwete pia wasira yupo na sasa kwa Magu yupo tena wamemubananisha rafiki yake Makongoro Nyerere makao makuu ya CCM sasa wapo mpaka 2020 hakika wasira yupo mpaka siku Tramp akisaidia vyama vinginevyo kuingia ikulu.
 
Back
Top Bottom