Nadhani lowasa amepotoka kidogo, kwakweli uadilifu haukuwepo!
angesema hiv slogani ya mkapa ya "mtaji wa maskini ni nguvu yake mwenyewe" kuliko ya jakaya ya"maisha bora kwa kila mtanzania" ambayo imeprove failure,
ya mkapa at least alijitwalia baadhi ya makampuni!
Twende kaziFisadi Mkapa aliyehusika na ufisadi wa Rada, EPA, ukwapuzi wa nyumba za Serikali, kufanya biashara akiwa Ikulu, kuuza mashirika ya umma kwa bei ya kutupa ikiwemo National Bank of Commerce, kuiba Kiwira Coal Mining, kuingiza nchi katika mikataba ya uchimbaji wa dhahabu ambayo haina maslahi kwa Tanzania na Watanzania, kuwaingiza makaburu wa Net Group Solutions kuchukua management a TANESCO kwa mtutu wa bunduki leo hii tunaambiwa aliiongoza nchi kwa umakini, uadilifu na ushupavu mkubwa!!!! Fisadi anamsifia fisadi mwenzie ili apigiwe debe 2015!!!!
We jamaa ni mnafiki kiukweliMkuu huyu fisadi kapotoka sana na wala si kidogo. Kwanini anaukimbia ukweli wa utendaji wa fisadi Mkapa wakati Watanzania wengi tunaufahamu!? Unafiki kitu kibaya sana.
Bado unamtafutaTwende kazi
Fisadi Mkapa aliyehusika na ufisadi wa Rada, EPA, ukwapuzi wa nyumba za Serikali, kufanya biashara akiwa Ikulu, kuuza mashirika ya umma kwa bei ya kutupa ikiwemo National Bank of Commerce, kuiba Kiwira Coal Mining, kuingiza nchi katika mikataba ya uchimbaji wa dhahabu ambayo haina maslahi kwa Tanzania na Watanzania, kuwaingiza makaburu wa Net Group Solutions kuchukua management a TANESCO kwa mtutu wa bunduki leo hii tunaambiwa aliiongoza nchi kwa umakini, uadilifu na ushupavu mkubwa!!!! Fisadi anamsifia fisadi mwenzie ili apigiwe debe 2015!!!!
Unaona wanohamisha magoli, mtawajua kwa matendo yao. Leo kishahamisha goli liko nje ya uwanja kabisa.
Fisadi anamsifia fisadi mwenzie.....Fisadi Mkapa aliyehusika na ufisadi wa Rada, EPA, ukwapuzi wa nyumba za Serikali, kufanya biashara akiwa Ikulu, kuuza mashirika ya umma kwa bei ya kutupa ikiwemo National Bank of Commerce, kuiba Kiwira Coal Mining, kuingiza nchi katika mikataba ya uchimbaji wa dhahabu ambayo haina maslahi kwa Tanzania na Watanzania, kuwaingiza makaburu wa Net Group Solutions kuchukua management a TANESCO kwa mtutu wa bunduki leo hii tunaambiwa aliiongoza nchi kwa umakini, uadilifu na ushupavu mkubwa!!!! Fisadi anamsifia fisadi mwenzie ili apigiwe debe 2015!!!!
Kwahiyo uwa unatetea mabadiliko yapi ndugu??Hebu tuwekee huu uthibitisho wa huo unafiki wangu mstari kwa mstari kwa nilichokiandika hapo juu badala ya kukurupuka.
Hujitambui wewe mburula unakurupuka kuandika kitu ambacho huna uthibitisho.
Kwahiyo uwa unatetea mabadiliko yapi ndugu??
Mkuu Mimi kwangu fisadi ni fisadi tu uwa sina unafiki Lowassa, JK,Sumaye ni mafisadi tu na wala alina mjadala!!Kwani wewe huko uliko unatetea mabadiliko yapi? Hebu tuwekee mabadiliko ya huko uliko? Usisahau tumeona Lugumi aliyepora 37 billion na kukingiwa na huyu dikteta uchwara. Je, maoni yako kuhusu kukingiwa kifua mwizi na fisadi Lugumi ni yepi!?
Mkuu Mimi kwangu fisadi ni fisadi tu uwa sina unafiki Lowassa, JK,Sumaye ni mafisadi tu na wala alina mjadala!!
You speak my mindHapo tunakubaliana kabisa Lowassa ni fisadi, Mkapa ni fisadi, Sumaye ni fisadi, Magufuli ni fisadi na Kikwete pia ni fisadi. Ingekuwa amri yangu Lowassa na Sumaye wasingepokelewa CHADEMA, lakini huo ubavu sina.