Lowassa amjibu Nape

Kaka umenena piga hesabu tu nani aliye nyuma ya lowasa? Humkosi mwizi mkuu chenge'jambazi rostam, mwenzake singa singa, karamagi na majizi kibao tu ambayo ktk utawala wa haki na usawa wangesha nyongwa long time sana. Leo hii wanajaribu kupelekana ikulu! Mh! Nyerere kunahaja ya kufufuka Aje awaumbue hawa manyang'any majizi wanafki wanatoka kuinunua ikulu! Eee mungu wapige upofu zaid kama ulivyo anza kuwahukumu
 

Huo muda anaopeteza ningekuwa yeye ningetafuta pahali nivute bata. Watanzania wa sasa sio wa miaka 5 au 10 iliyoisha. Mnaiba, mnakuja kutudanganya hapa. Hamna ----- safari mtasoma alama, wakati ndio huu wakupiga mstari...
 
Hivi hayo mabilioni ambayo jambazi la Richmond linayatumia kutengeneza hiyo filamu yatalipwaje? Ikulu kuna biashara gani hata atumie hela zote hizo kuingia? Hana mvuto wa kuwa Rais labda tu anaweza kuwa bongomovie superstar
 
Mfisadi yanapojipanga kuibia nchi, CHADEMA tunajipanga kuandaa viongozi bora watakaoibia Watanzania na kulindana katika wizi watakaufanya ikulu. Tafakari baraza la mawaziri la Lowasa kama halitakuwa limejaa mafisadi tu. Karamagi Waziri wa Fedha, Nimrodi Mkono-Nishati na Madini, Change-Waziri Mkuu n.k Haya yatakuwa ni majanga katika nchi yetu.
 

kuwanyonga Ni kuwapa title ambayo hawasitahiri hao majambazi tungekuwa na serikali makini wangefyatuliwa na makombora na Shari wakae Mita tano kutoka Mzinga ulipo ndipo ufatuliwe...
 
Kama mnategemea kifo cha CCM kwa kumpitisha jambazi hapo mmebug. CCM hawawezi kufanya ujinga huo. Tutawaletea mtu clean asiye na makando kando mengi
 
Hivi hayo mabilioni ambayo jambazi la Richmond linayatumia kutengeneza hiyo filamu yatalipwaje? Ikulu kuna biashara gani hata atumie hela zote hizo kuingia? Hana mvuto wa kuwa Rais labda tu anaweza kuwa bongomovie superstar

kodi yako mkuu...kwani kifurusha za internet kwanini kimepanda...
 
ati huyu naye yumo?? kweli Mzee Ruksa ulimaliza kila kitu kutuamba "Tanzania................"

 
Thread ya kipuuzi sana hii, Mods iondoeni


Wapuuzi ni wale waliouziana nyumba zetu za shirika la NHC kwa bei ya chee,

Wapuuuzi ni wale waliofilisi migodi ya nchi almasi na dhahabu,

Wapuuzi ni wale walioamua nchi kuwa na bajeti ya ombaomba,

Wapuuzi ni wale walioamua kuua viwanda vyetu vya ngozi,nguo na kamba,

Wapuuzi ni wale walioingia mkataba wa Richmond ulioliingiza Taifa kwenye hasara ya uchumi,

Wapuuzi ni wale waliokwiba fedha za wananchi na kugawana kwenye viroba,wengine wakiwa mahala patakatifu wanastukia zimeingia kwenye account na hawajui za nini?


Wapuuzi ni wale ambao,sauti za wapigakura wao juu ya katiba mpya,waliamua kuwakaba kooni na walipowatenza nguvu,wakaja na igizo la katiba inayopendekezwa,

Haohao,kesho wanakuja na safari ya matumaini ambayo walipokuwa na ari mpya,nguvu mpya,kasi mpya tayari walikuwa wameshindwa kwenye maisha bora kwa kila mtanzania,

Kisha wakathubutu,wakadai wameweza kutumia sanduku la mfuko wa Rushwa nchini na ikiwa watanzania watajichanganya mbele na kwa kuwa wameweza kuchota, basi safari ya matumaini watasonga mbele huku wakichukua chao mapema,

Kwani wamesema " hawaupendi umaskini"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…