hamna mwenye ubavu wa kumpiga chini lowasa......
Kupitia akaunt ya Twitter ya Laigwani Lowassa (EdwardLowassa) Amefunguka Yafuatayo:
Ati Nyerere alimkataa Lowassa, hakuna dhambi kubwa mnatenda kama kuongopa kwa kutumia jina la Mwalimu Nyerere.
Ni kweli mwanangu Frederick anamiliki nyumba Uingereza, lakini hiyo ni nyumba yake, si yangu.
Mkapa alipounda Baraza la Mawaziri jipya mwaka 1995 alikuacha. Wao wanasema kwamba Mwalimu alimwambia asikupe hata Uwaziri. Hizo ni porojo.
Ni kweli namiliki ranchi Mzeri Handeni. Niliipata nikiwa Waziri wa Mifugo na nilifuata taratibu zote za kisheria. Sijaiba kama wengi wenu.
Richmond: mapenzi ya nchi yangu yalinipa moyo kuhifadhi aibu ya utawala, nilibeba lawama ila wakati wake utafika tu.
Richmond: mapenzi ya nchi yangu yalinipa moyo kuhifadhi aibu ya utawala, nilibeba lawama ila wakati wake utafika tu.
Ni kweli kila MNEC nilimpa milioni 1,(milioni 370) na kila mjumbe 500,000 msimu wa sikukuu. Ni fedha zangu na marafiki. Nimezitoa wazi wazi.
Msafi na mwadilifu ndani ya CCM awe wa kwanza kuokota jiwe kumrushia Lowassa.
Wote wanajua endapo Edward atapita utakuwa mwisho wao kukosa kuwajibika kwa wananchi. Wanatumia kivuli cha uchafu kujiita wazalendo zaidi.
Ni kweli nalipa wanahabari kufanya kazi na pia wataalam mbalimbali wa mikakati ndani na nje ya nchi. Mwanasiasa gani asiyefanya hivyo?!!
Siku zote Nape Nnauye hajui anazungumza nini, apuuzwe tu, ni kijana mdogo ambaye anatumika bila kufahamu.
Nchi inakosa mwelekeo sababu ya kukosa uongozi imara. Sishangai Jussa kusema UKAWA iko tayari kushirikiana hata na ibilisi mradi CCM ing'oke
RT@Chahali Lowassa ni janga La kitaifa.Miaka miwili tu Uwaziri Mkuu,akatutapeli na Richmond.Akipewa #Urais2015 si atauza nchi?- HUJUI UKWELI
Nape 2005 alikuwa anasema Kikwete kuwa akichukua nchi atahama nchi. Nape hajifunzi kutokana na makosa, anarudia makosa yale yale.
Wote wanajua endapo Edward atapita utakuwa mwisho wao kukosa kuwajibika kwa wananchi. Wanatumia kivuli cha uchafu kujiita wazalendo zaidi.
Nape naye ni Bwana bwabwaja, si asububiri kikao?
................agriculture council of TanzaniaAct IPI hiyo,limbu mzalendo ama mwigamba mvamizi
Mkuu inamaana hawezi kuchukua maamuzi kama Lissu kwa Zitto?
Nna mkosi mie, kila nikiweka uzi, unaunganishwa na mwingine, mbona nyingine hazijagi kuunganishwa na zangu? Mods, mimi nilikuwa natoa Live tweets zake muda huu anazoziachia twitter, sasa mnapounganisha na namna alivyomjibu Nape inakuwa sio sawa maana post anazoweka now zinajitegemea na amejibu wengi sio Nape tu na anaendelea kupost... Sasa hapa ntaendelea kuUpdate vipi akat Post imegeuzwa Comment. Mshaniudhi siweki tena update nalog out sasa, Usiku mwema
cc Invisible
Nyerere alivyosema kuwa Lowasa mjinga hajakosea kabisa sasa ndiyo naanza kuelewa,
kwani Lowasa hajui kuwa nape ni msemaji wa chama,
Kwani kasema mangapi ambayo hayatokani na kikao au vikao.
Nape hafai kuwa msemaji wa chama, kwani tayari ana-side...
Nape hafai kuwa msemaji wa chama, kwani tayari ana-side...
Lowasa amemshangaa Nape kwa kutoa matamko bila vikao vya chama! Amehoji kauli anazotoa zimetokana na kikao kipi cha Chama?
Lowasa amesema CCM anayoifahamu yeye mambo yote hujadiliwa na kuamuliwa na vikao vya chama!
Source: ITV habari kwa saa!
Naona ka movie kanaendelea.
Kwangu mimi Lowasa is a GREAT CONQUERER ndani ya chama chake. Against all odds, he is back on track. Hilo limemshinda ZITTO.
Wanagombania nini wajinga hawa ili hali CDM imekwishachukua nchi, watupishe tupange mipango ya maendeleo kwa taifa
Basi tutaona, kusoma na kusikia mengi hi 2015.Movie utaisha siku Membe akimaliza pesa za Gadafi alizoficha, lakini endapo atakuwa Bado na hayo mapesa atawasumbua sana,
hahahahahahahaha ingepaswa u fikirikwanza ndugu. shughuli ya hapo baaadae kwenye uchaguzi si ya kitoto
ha ha ha ha ha mbavu zangu mie!!!!Hii filamu karibu inaanza kuchanganya. Walio nje ingieni.
Basi tutaona, kusoma na kusikia mengi hi 2015.