Lowassa amjibu Kinana huko Pemba!

huyu mzee jamani..au ndo katumwa na Mungu kuja kutuokoa watanzania..

alaf tizama wale wote wanaomtukana wanatangulia mbele za haki

This man is so WISE ENOUGN TO LEAD OUR NATION

Lowassa anahekima sana. Ingekuwa magifuli hapo angesha kurupuka na kumwambia mwigulu atukane

Wakae wakijua ya kwamba watanzania sasa sio finyu kimawazo wawe wanapotosha kila linalo semwa hatutawafuata kamwe

EL mtu wa watu. atatuvusha salama kutoka kwenye lindi la umasikini.✌✌




Lowasa very wisdom hana papala angekuwa nape tayari angekuwa star tv kutukana God we in general to give us Mr edo as a holy candidate Presidential chosen by Almighty.

Nazidi kumpenda Lowassa,nimejifunza mengi sana kutoka kwake.
Ukimya wake ni jibu la mtu mwenye hekma,na ndio maana nitampa kura yangu Insha'Allah.
Mungu akupe maisha marefu mzee wetu.


alipo tupo

Kila nikimuwazia Lowassa sipati jibu,zaidi natamani kila mtu awe kama mimi.
Yaani tumchague ashinde kwa kishindo...naiona Tanzania mpya chini ya Lowassa.

Lowssa.Tanzania mpya inakuja

Huyu ndiyo raisi mtu mtulivu. Ya nini kumchaguwa mtu wa kulipukalipuka kama stove ya mchina?? Hahahaha

huyu mzee hakurupuki kama wa upande ule,kule wana mihemko haoo nheee!!

Kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupenda Lowassa.Wamemutukana sana,lakini eddo yuko kimya.Kura yangu kwa Lowassa

Lowassa ni kama musa aliyetumwa na mwenyezi mungu kuwakomboa wana wa israel (watanzania) utumwani.

SAA ya ukombozi ni sasa.
Badilika ewe mtanzania.
Chukua hatua.
CCM out.!
 

unajisumbua bure. lowasa ndo rais ajaye. safari hii hatugawanyiki kamwe...
 
ongeeni sana lkn tutamchagua lowassa
 
Kwa faida yako wewe unaechangia bila kusoma

hoja yangu iko palepale kwanini rais amwachie huru na sio mahakama kutenda haki? Na yule aliyefungwa miaka kumi kwa kumhifadhi fisi mbona hamzungumzii? Na yule aliyefungwa kwa mwaka mmoja kwa wizi wa bilioni 11 mbona hamzungumzii? Au ataamuru arudi jela?
 
Fisadi wenu lowassa ananadiwa na Tambwe Hiza na Mr zero hao ndiyo viongozi wa Chadema?

kwani nyie yule fisadi wenu makufuli ananadiwa nakina nani? amezungukwa na wapiga dili tu na walilia vyeo. hana jipya....
 

Aliongea dakika 7 hayo uliyoandika ni zaidi ya muda huo, tafuteni njia nyingine ya Kumnadi FISADI wenu.
 
Huyo ndiye Lowasa huwa hakurupuki na huwa anatoka majibu sahihi kwa wakati sahihi na sehemu sahihi.Hiyo ndiyo busara ya Raisi sahihi wa nchi.
 
....Umesahau kimoja..MAAMUZI MAGUMU!Inahitaji mtu mwenye ujasiri wa hali ya juu kutoka CCM..tena kama former PM!Hili lilini-impress sana..
 

Video tafadhali
 


Habari hii ya Kinana pia imejibiwa na kukosolewa na mhariri wa jarida la African Arguments kutoka London
Tanzania cannot be allowed to be the new front for state-led Islamophobia

na pia wale mabinti wa kizungu wawili waliopatwa na dhoruba ya kumwagiwa tindikalii nao wame kosoa alichoongea Kinana TheHILL
Zanzibar acid attack survivors: We have lost faith in ever getting justice

Mmoja kati ya walioadhiriwa [ Krstie Trup ] amesema "I [ the victim ] don't believe the reports of charges are accurate. It was just a political stunt"
 
Subirini kipigo cha Oktoba 25. Hayo mengine sijui ana busara mtayajua wakati huo. Busara hizo kazipata UKAWA?
wewe endelea kusubiri upenyezewe. nimesikia unapenda sana kupenyezewa (taarifa)
 

Ukisoma mara nyingi zaidi kama mara moja au mbili umeshindwa utaelewa
 
nimeelewa kama mleta uzi alivyoleta kuwa kama sheria hazikufuatwa atamwachia huru, sasa kama sheria hazijafuatwa si mahakama itawachia huru na kama watapewa hukumu isiostahili siwatakata rufaa! Tatizo liko wapi hadi rais aamuru waachiwe huru?

Lowasa ana point: kosa la kwanza, kama Zanzibar kuna mahakama kuu ni kwa nn mliwaleta mahakama kuu za Tanganyika ?? Tuanzie apo!!
 
Ningeshangaa km magamba wangemuunga mkono EL wanaejua kwa hakika anakuja ikata mirija yao.
 

Mwambie awatafute wafanyakazi wake wa nyumbani awaulize busara zake. Huyo ni sumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…