sixmundmtabi
Member
- Jul 12, 2015
- 22
- 1
jamani Wananchi Wote mnakaribishwa uwanja wa taifa octoba,kwenye event ya kihistoria ya kumuapisha raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania awamu ya tano Hon.John P Magufuli Nyote Mnakaribishwa..
Jipangeee!!!
jamani Wananchi Wote mnakaribishwa uwanja wa taifa octoba,kwenye event ya kihistoria ya kumuapisha raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania awamu ya tano Hon.John P Magufuli Nyote Mnakaribishwa..
Still bado too early to celebrate
kuna kitu Marekani wanaitaga 'October surprise '
mwezi mmoja ni mrefu sana
hakuna alietegemea kusikia mgogoro NCCR...but jana umeibuka
hujui kina nani wengine watapewa posho ya kuleta mgogoro
Yah najua ccm wako vibaya mno lakini hawataachia nchi kirahisi..kumtangaza lowasa mshindi halitakua jambo rahisi hata kidogoCCM waliobakia hawana uwezo wa kushinda ,msemo wa ccm hawaachii nchi kirahisi hauna uzito tena kwani huko CCM ndiko huko itakakoanza kuanguka na kuporomoka kila mmoja anapanga wapi kwa kukimbilia.
Umasikia wengine wameenda kutandika vitanda mashuka huko YUESE
mlimsikiliza bulembo jana!!!!!!!!? Eti "hawatakubali upinzani kutawala nchi hii!!!!!" tume ya uchaguzi hamkuyasikia hayo? Mbona kimya?