Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
Kwa jinsi nilivyofatilia kampeni hadi muda huu, ni waz kuwa lowassa anao uungwaji mkono wa kitosha kuliko magufuli.
Kila anakopita mwitikio wa watu ni mkibwa sana sana.
Kwa maoni yangu, kama mwitikio huo hautabadilika(kumebaki siku takriban 36) kabla ya uchaguzi, lowassa ataweza kishinda iwapo tuu atakuwa na mkakati mahususi wa kudhibiti WIZI WA KURA.
NAWASILISHA