zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,239
- 39,816
Nmesoma ndio maana nakuuliza wwe unipe msimamo wakoSoma comment no.1 ya Mleta thread!
Nmesoma ndio maana nakuuliza wwe unipe msimamo wakoSoma comment no.1 ya Mleta thread!
Nmesoma ndio maana nakuuliza wwe unipe msimamo wako
Ok nmekuelewa mkuu kwa muktadha huo basi je UKAWA tungemsimamisha Dr George kahangwa je tungeweza kufikisha kura hizo milion 6??? Na je lowassa angegombea kupitia ACT wangepata kura laki 1 pekee kma za mghwira na mbunge 1 tu???Yaaa kuna uhusiano, Bt sio wa 100%
Inawezekana sehemu Mgombea Urais akaongoza kwa kura lakin Wagombea wake wa Udiwani na Ubunge wakapigwa chini na Kinyume chake
Ok nmekuelewa mkuu kwa muktadha huo basi je UKAWA tungemsimamisha Dr George kahangwa je tungeweza kufikisha kura hizo milion 6??? Na je lowassa angegombea kupitia ACT wangepata kura laki 1 pekee kma za mghwira na mbunge 1 tu???
Ni hayo tu,ahsante
Samahani ila naona hukuniambia kuhusu Dk kahangwa wa NCCR je angekuwa anapeperusha bendera ya UKAWA vs magufuli (aliyekuwa hajachafuka kma wenzake wa ccm) unahisi uchaguzi ungekuwaje??Lowassa kaleta kura nyingi sana Chadema lakin naamini ( sio lazima iwe hivyo) kura alizokuta Ukawa tayari wanazo Kama Mtaji ni Nyingi kuliko alizoleta!
Kumbuka ni Mara ya kwanza kuwa na Muungano rasmi wa Upinzani ambao umekuwepo kabla ya ujio wa Lowassa jee hauna Mchango huo umoja?
I believe Kama Lowassa angegombea kupitia let say PPT Maendeleo Basi hata 15% ya kura huenda asingefikisha!
Maeneo yote aliyopata kura Lowassa ni Yale ambayo yana Historia ya Upinzani tangu Lowassa yupo CCM!
Samahani ila naona hukuniambia kuhusu Dk kahangwa wa NCCR je angekuwa anapeperusha bendera ya UKAWA vs magufuli (aliyekuwa hajachafuka kma wenzake wa ccm) unahisi uchaguzi ungekuwaje??
What i believe bila mgombea urais mwenye nguvu basi hata ubunge hamuambilii kitu ndio maana naamini kma CUF ingekuwa na mgombea urais mwenye ushawishi basi ingekuwaga imekuwa chama chenye wabunge wengi sana huku bara!!! Hivo hivo lowassa alisaidia upinzani kuongeza kura maana aliweza kupata kura za vyama vyote!!!! Hivo hta majimboni kura za ccm ziligawanyika ndio maana zikapatikana zilizopatikana
Nazani wewe ndo unaleta mambo yakufikirika. Unataka kuniambia ndani ya ukawa slaa alikuwa na nguvu kiasi kwamba anaweza kuamua chochote? Yaani hadi akaamua kumleta lowasa na wengine wote wakakubali kisa eti kasema Slaa? Fikiria vizuri mkuu. Watu walilamba ndefu kutoka kwa mamvi ndio maana yakatokea yaliyotokea.Embu acha mambo ya kufikirika slaa alimleta lowassa kuwa mgombea urais mke wake ndio akagoma mbona hta bestie yake bwana mnyika alisema hilo??? U mean wwe ndio una uchungu kwa slaa kuliko mnyika aliyekulia mikononi mwa slaa??? acheni kulishwa propaganda muwe mnachunguza.......
Mkuu u know very well slaa alikuwa katibu mkuu na goal ya kuandaa mgombea urais walipewa chadema hata yye pia gwajima at different times wamekubali walishiriki kikao cha kumleta lowassa chadema na walikuwa wa3 tu lowassa gwajima na slaa ssa unakataa nni kuwa slaa hakuhusika????? Si alikuwa katibu mkuu ssa ulitaka nani ndio afanye hyo kazi ya organization???Nazani wewe ndo unaleta mambo yakufikirika. Unataka kuniambia ndani ya ukawa slaa alikuwa na nguvu kiasi kwamba anaweza kuamua chochote? Yaani hadi akaamua kumleta lowasa na wengine wote wakakubali kisa eti kasema Slaa? Fikiria vizuri mkuu. Watu walilamba ndefu kutoka kwa mamvi ndio maana yakatokea yaliyotokea.
Mkuu statistics is very complicated sana huwezi sema growth rate bila kusifia ongezeko la wapiga kura!!! Its easy to say rate ya growth ipo negative ila ukapuuzia kuwa slaa alipata 2 milion votes na lowassa alipata a whooping 6 million votes!!! Pia halmshauri kutoka 5 mpaka almost 20!!! Pia umeamua sijui kupuuza kuwa rate ya ongezeko la madiwani ni zaidi ya 30% wa tuliokuwa nao 2010!!! Haya wabunge pia wameongezeka kwa 23% !!!!Je hapo bado huwezi ona nguvu ya mgombea urais huchangia pia!!!??Ngoja nikupe Mfano mmoja Kama utapenda kuelewa utaelewa!
Tazama trend ya Chadema kukua kutoka 2005-2010 halafu linganisha 2010-2015 pia take into consideration 2010 walikuwa wanapambana na Mtu Mwenye Brand kubwa ( Rais wa Nchi), pia hawakuwa kwny Ukawa waliweza kumshusha kutoka kwny 82% mpaka 61%
Ilitoka kwny Wabunge wasiozid 10 mpaka 48
Wakatoka kwny 5% ya Kura za Urais za Mbowe
Mpaka 26%, walipata halmshauri kadhaa ambazo sikumbuki idadi
Halafu linganisha na ongezeko walilopata 2010-2015?, kwny Urais CCM ilishuka kutoka 61%_58%
Kama una ABC ya Hesabu utajua kuwa Chadema ime grow kweli 2015 lakin rate of growth 2010-2015 ni negative growth ukilinganisha na 2005-2010
Kwa Vyovyote vile Dkt Kahangwa Kama angepeperusha bendera ya Ukawa Basi ni kweli asingefikia Kura za Lowassa lakin pia inawezekana Slaa amgefanya vyema zaid kwa kuwa angekutana na JPM ambae Kama Lowassa tu hajui kuzungumza wala kujenga hoja za kusiasa Jukwaani!
All in all Uchaguzi umekwisha And the rest is History!
Nimeshangazwa na msomi mahiri wa uchumi, prof.Lipumba kunena kwamba 'ilikuwa mzigo kumnadi Lowassa kwenye uchaguzi 2015' na vile vile ''aliitwa na wanachama kuja kuikomboa CUF'' naomba niweke mafanikio ya CUF chini Lipumba kama mgombea uraisi na mafanikio ya Lowassa kama mgombea uraisi
Lowassa ameweka historia kubwa ndani ya CUF, ambayo legacy ya Lipumba haifikii hata hata robo, Prof.Lipumba amekuwa mwenyekiti wa CUF kwa miaka karibia 20 tangia 1995 na amekuwa mgombea uraisi kwenye changuzi zote lakini hajawahi kuifikia rekodi ya Lowassa, CUF iliambulia wabunge wawili tu bara Wilfred Lwakatare 2000 na Frank Magoba 2000, kutokana na uongozi wake mbovu wakapoteza majimbo 2005, 2010 wakapata majimbo mawili tu, kwa kifupi chini ya uongozi wa Prof.Lipumba chama hakijawaki kupata zaidi ya wabunge wawili bara na hata kuongoza halmashauri, kimekuwa ni chama cha kupoteza majimbo
Lakini chini ya "Mzigo" Lowassa anavyosema huyu profesa Lipumba , CUF kimepata wabunge tisa na kutoa manaibu meya wawili, hivi nikisema prof.Lipumba anachanganyikiwa nitakua nakosea, hivi nikisema Prof.Lipumba amefilisika kisiasa na nitakua nakosea, huu ndo ubaya wa kutumika CCM kuvuruga upinzani
USHAURI: PROF.LIPUMBA TAFUTA CHUO CHA KUFUNDISHA ILI UENDELEE KUFANYA TAFITI ZAKO NA KULINDA HESHIMA YAKO, HOJA ZAKO DHIDI YA MAALIM SEIF NI ZA KITOTO, WANAOKUAMINI WANATAFUTA HELA YA KULA WAKINA ABDUL KAMBAYA NA GENGE LAKE
Ok mkuu tukubaliane kutokubaliana ila ukweli utakuwa wazi siku hazigandi. Naamini 2015 tulitekwa na ushabiki na jazba wengi wakawa vipofu. Wanamacho lkn hawaoni.Mkuu statistics is very complicated sana huwezi sema growth rate bila kusifia ongezeko la wapiga kura!!! Its easy to say rate ya growth ipo negative ila ukapuuzia kuwa slaa alipata 2 milion votes na lowassa alipata a whooping 6 million votes!!! Pia halmshauri kutoka 5 mpaka almost 20!!! Pia umeamua sijui kupuuza kuwa rate ya ongezeko la madiwani ni zaidi ya 30% wa tuliokuwa nao 2010!!! Haya wabunge pia wameongezeka kwa 23% !!!!Je hapo bado huwezi ona nguvu ya mgombea urais huchangia pia!!!??
2015 ccm walifield a strong candidate sana kwahyo anythin less than a strong opposition candidate would have led to a total downfall na hili hta wwe unalijua
Ilikuwa kambi rasmi Bungeni sababu ya wingi wa wabunge kutoka zanzibar,ndiyo maana kiongozi wa upinzani alikuwa Hamadi Rashidi, CUF Tanganyika chini ya Pumba haijawahi kuwa na wabunge zaidi ya wawili, au ulikuwa ungali tumboni mwa mama?Ni wakati gani CUF ilikuwa ndio kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Fanya utafiti mkulu usikurupuke. Uongo ni wa nini? CUF enzi za Lipumba kilikuwa ndiyo chama rasmi cha upinzani; Mama Maghimbi alikuwa KUB. Hizi data zako unazipata wapi? Halafu kumbuka Lowassa kachaguliwa na mikoa miwili tu kumpa ushindi 105% ya kura walizopiga; plus 107% ya kura zote miji mikubwa mikubwa yenye ufadhili ya wafanyabiashara na watendaji kutoka mikoa hiyo hiyo miwili kama hujui hilo ni wewe peke yako. Tafuta mfano mwingine Mkuu, CUF ya Lipumba haijawahi kufikiwa na mtu yeyote.Nimeshangazwa na msomi mahiri wa uchumi, prof.Lipumba kunena kwamba 'ilikuwa mzigo kumnadi Lowassa kwenye uchaguzi 2015' na vile vile ''aliitwa na wanachama kuja kuikomboa CUF'' naomba niweke mafanikio ya CUF chini Lipumba kama mgombea uraisi na mafanikio ya Lowassa kama mgombea uraisi
Lowassa ameweka historia kubwa ndani ya CUF, ambayo legacy ya Lipumba haifikii hata hata robo, Prof.Lipumba amekuwa mwenyekiti wa CUF kwa miaka karibia 20 tangia 1995 na amekuwa mgombea uraisi kwenye changuzi zote lakini hajawahi kuifikia rekodi ya Lowassa, CUF iliambulia wabunge wawili tu bara Wilfred Lwakatare 2000 na Frank Magoba 2000, kutokana na uongozi wake mbovu wakapoteza majimbo 2005, 2010 wakapata majimbo mawili tu, kwa kifupi chini ya uongozi wa Prof.Lipumba chama hakijawaki kupata zaidi ya wabunge wawili bara na hata kuongoza halmashauri, kimekuwa ni chama cha kupoteza majimbo
Lakini chini ya "Mzigo" Lowassa anavyosema huyu profesa Lipumba , CUF kimepata wabunge tisa na kutoa manaibu meya wawili, hivi nikisema prof.Lipumba anachanganyikiwa nitakua nakosea, hivi nikisema Prof.Lipumba amefilisika kisiasa na nitakua nakosea, huu ndo ubaya wa kutumika CCM kuvuruga upinzani
USHAURI: PROF.LIPUMBA TAFUTA CHUO CHA KUFUNDISHA ILI UENDELEE KUFANYA TAFITI ZAKO NA KULINDA HESHIMA YAKO, HOJA ZAKO DHIDI YA MAALIM SEIF NI ZA KITOTO, WANAOKUAMINI WANATAFUTA HELA YA KULA WAKINA ABDUL KAMBAYA NA GENGE LAKE
Akili zako hazina akili... Ur empty in brain... Ova
Ni wakati gani CUF ilikuwa ndio kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Lowassa alikuwa anawakilisha CUF, CDM, NLD & NCCR.....Hivi Lowassa alipata kura ngapi vile ? Je tangu mfumo wa vyama vingi uanze kuna aliyepata kura zaidi yake?