Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,793
- 1,251,531
Mtoto wa juzi huwezi kujua umuhimu wa dr slaa cdm
Ndivyo ilivyo kweni slaa Dr aliiacha cdm inawabunge ngapi?
Ndivyo ilivyo kweni slaa Dr aliiacha cdm inawabunge ngapi?
Mbona mnalazimisha mambo? Lipumba na Slaa walikwisha sema hawawezi kumuuza fisadi Lowasa.Ni kweli CCM ilikua imechokwa sana ;
Lakini jiulize nini maana ya Lipumba kukimbia wakati ambapo Chama chake Kingekua na uwezo wa kupata wabunge wengi na UKAWA kwa ujumla?
Juliulize Kwa nini 2010 alipoona Dr. Slaa anataka kuiangusha CCM aliamua kuzunguka misikitini na kumpigia Kikwete Kampeni?
Kwa nini tena 2015 akaamua kufanya yale yale ya kuinusuru CCM kwa kukimbia kampeni amabapo kwa pamoja wangeshirikiana Lipumba ,Lowasa ,Mbowe ,Zito Kabwe na DR. Slaa huenda nusu ya wabunge na madiwani wangekua ni wa vyama vya upinzani jambo ambalo lingekua na tija kwa nchi yetu kuliko kukimbilia urais tu wakati kwa sasa ameonekana wazi kuwa hana uweze hekma ya kuwa Rais wa nchi ya amani kama Tanzania.
Labda aende Burundi au Kongo.
Badala yake Lipumba akaamua kujiuzulu na kukimbia nchi wakati wote wa uchaguzi bila hata kuwapigia hao wabunge na madiwani wake wanaosababisha leo chama chake kiendelee kuwa chama na kupata Ruzuku.
Hebu kwa akili ndogo kabisa kabisa aliyojaliwa binadam hebu tuwaze tu kama viongozi wote kabisa wa CUF wangejiuzulu wakati wa uchaguzi kwa kumuunga mkono Lipumba ambaye alikua mwenyekiti wao leo CUF ingekuaje?
Yani kuanzia wale waliokua wanagombea ubunge na udiwani wote wangeamua kusema kuwa tunajiuzulu wote kama ishara ya kuunga mkono maamuzi ya mwenyekiti wetu, bila shaka CUF ingebaki kama CCK.
Zenji pia hawakuwahi pata majimbo 7 unguja ila wamepata 2015!!!!!Kwa hiyo wabunge wa visiwani kwa sasa wametokea chadema?
Kwa hiyo lowassa kaleta neema au balaa CUF??
Hhahahahha ila ndo huyo huyo slaa alimleta lowassa chadema kupitia kikao na gwajima!! Au alitegemea amlete lowasa kuwa diwani??? Nyie mnaomtetea slaa mmnashangaza sana mnawezaje sema kumsafisha fisadi wakati slaa ndio alihusika kumleta ???Mbon
Mbona mnalazimisha mambo? Lipumba na Slaa walikwisha sema hawawezi kumuuza fisadi Lowasa.
Hahahhha miaka yote anakuwaga mgombea urais hakupata wabunge sembuse leo?? Hapo labda angesaidiwa kampeni na chadema otherwise mambo yangekuwa yaleyale ya miaka yote kuambulia wabunge wawili!!!! maana lipumba hana ushawishi tena huku baravipi kama lipumba angekuwa mgombea wa UKAWA unadhani idadi ya wabunge wa CUF ingekuwaje?
Duh ssa it was very clear NCCR ilishakufa kabisa baada ya ile migogoro hata 2010 ilipata wabunge after vurugu za zitto na kina machali kukimbilia NCCR!! ssa kichekesho ni mwenyekiti wa chama ambacho kipo stable bila migogoro miaka yote anashindwa kufanikisha hta majimbo zaidi ya 2 then anakejeli kwa kumuita mzigo aliyezoea 40% ya kura zote hicho ndio hoja yetu.Vipi Nccr,lowassa kawapa wabunge wangapi? Chuki kwa lipumba isiwe chanzo cha kusingizia wabunge wameletwa na lowassa,ina maana ukawa yote ilikua ni jeshi la mtu mmoja?wengine wooteee (viongozi wa ukawa ni useless eeh!!
Mgombea urais ana matter sana huoni slaa 2010 alivyosaidia chadema??? Maana urais huwa unahitaji kura kutoka vyama vyote hivyo akiwa vyema atawasaidia hta wabunge wako maana huwa akiend kila mkutanp huwanadi wagombea ubunge na udiwani eneo hilo!!!Kitendo cha CDM kutosimamisha mgombea na badala yake kumnadi wa CUF ndiyo kimeipa CUF idadi hiyo ya wabunge.
CUF ina wafuasi kibao tu ambao ni matokeo ya juhudi za Lipumba&Co kilichokuwa kinatokea ni CDM kugawa kura za CUF Pwani na mikoa yaKusini na CCM inashinda.
Kama Mamvi Ana huo uwezo mbona haanzishi chama chake tuone matokeo?
Kupendwa kwa lowassa haimaanishi ni mzuri lowassa ni fisadi aliyethibitishwa na atabakia kuwa fisadi hata kama atakuwa rais wa nchi hii. Lipumba ameongelea ufisad wake sio ushawishi wake. Na hata chadema wakati inamtangaza nchi nzima kama fisadi no 9 kwenye list of shame yao walijua kuwa ana ushawishi Mkubwa hali kadhalika hata ccm ilivyomkata ilijua ana wafuasi wengi. Kuwa na mvuto wa kisiasa haihusiani na maadili. Kwa mfano Saddam Hussein pamoja na tuhuma zake za kuua watu wake wakiwemo wakurdi alikuwa anashinda uchaguzi kwa asilimia 90 wengi walisema amefanya rigging lkn dunia ilishangazwa na idadi kubwa ya wairaq waliokuwa wanaandamana kwa Furaha ya ushindi ambao haikuwapo dalili yoyote ya kulazimishwa kuingia mtaani. Lowassa ni kirusi cha ufisadi Tanzania.Kura alizopata Lipumba mara zote alizo gombea urais hazifiki nusu ya alizopata Lowassa mara moja aliyogombea.
Lipumba ataishia kutumiwa na CCM kujarabu kuangamiza CUF na UKAWA hana mbele wala nyuma
Mkuu umeuliza la msingi sana. Ama kama ana ubavu wa aina ya utetezi huo, kuanzisha chama chake kazuiwa na nani?Kilichowasaidia vyama vya Cuf na Chadema ni ule umoja wao wa ukawa na ndio maana vilianza kufanya vizuri hata katika uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa na vijiji na wala si lowasa,acheni kumkweza huyo mtu wenu na kama alikuwa ubavu kweli kwanini hakujiunga na chama chochote kidogo ili tuone hizo nguvu zake
Tukumbushane.....UPINZANI waliposema na kupiga kelele Lowasa ni fisadi. CCM walijibu nini? Tuanzie hapo.Ni mzigo sababu kabla ya hapo mlisema ni fisadi...
Unaoshaje kinyesi kwa sabuni??
Ikiwa na wabunge wangapi Bara?Ni wakati gani CUF ilikuwa ndio kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Umeishia darasa la ngapi hata hujui kuwa kinachofanywa na Lipumba ni ufisadi wa kiwango cha juu? Kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa!Lipumba bado ana uwezo wa kutembea na kukemea ufisadi na watu tukamuelewa. Ebu piga picha dj anakemea ufisadi, sipati picha!
Na kwanini ushauri wa kuanzisha chama usiuelekeze kwanza kwa Lipumba, ambaye amechagua kuwa tayari hata kuua ilimradi aendelee kuongoza chama ambacho hakimtaki?Kitendo cha CDM kutosimamisha mgombea na badala yake kumnadi wa CUF ndiyo kimeipa CUF idadi hiyo ya wabunge.
CUF ina wafuasi kibao tu ambao ni matokeo ya juhudi za Lipumba&Co kilichokuwa kinatokea ni CDM kugawa kura za CUF Pwani na mikoa yaKusini na CCM inashinda.
Kama Mamvi Ana huo uwezo mbona haanzishi chama chake tuone matokeo?
Hivi wewe unayedai lowassa leo ni malaika una akili kweli? Ni maarifa yapi unayoongelea? Maarifa ya unafiki uliyonayo wewe na viongozi wako? Elimu yangu ni Graduate wa The Great University of common sense.Umeishia darasa la ngapi hata hujui kuwa kinachofanywa na Lipumba ni ufisadi wa kiwango cha juu? Kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa!
Umeielewa hoja ya Lipumba ambayo imetumiwa na mleta uzi kujenga hoja yake juu ya Lowasa na CUF wakati wa uchaguzi, au?Mleta mada hajielewi wabunge walipewa kura na wapiga kura hawakupewa na lowasa wala lipumba
Kumbe tunajadiliana na Bashite! Wapi nimesema Lowasa ni malaika? Nimekukatalia hoja yako ya kusema Lipumba anaweza kusimama kukemea ufisadi kwa kuwa anachokifanya sasa ni ufisadi wa kiwango cha juu mno! Inawezekana kwa kiwango chako huwezi kuelewa hiki...Hivi wewe unayedai lowassa leo ni malaika ina akili kweli? Ni maarifa yapi unayoongelea? Maarifa ya unafiki?
Walipomkata baada ya yeye kutangaza nia kutaka awe rais ni jibu tosha kwa mwenye akili,Tukumbushane.....UPINZANI waliposema na kupiga kelele Lowasa ni fisadi. CCM walijibu nini? Tuanzie hapo.