Lowassa alivyoitetemesha CCM

Lowassa alivyoitetemesha CCM

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,498
Reaction score
28,720
HUYO NDIO LOWASSA RAIS WETU

Ujio wa Lowassa UKAWA umepeleka kilio kikubwa sana CCM japo kuwa wanajikazakinyasa wanakufa na Tai shingoni. Majuzi Mh. January Makamba aliita waandishi wa habari na kujinasibu eti CCMimepata wabunge 176 mpaka sasa na kufanikiwa kugomboa majimbo 11 yaliyokuwa yawapinzani.

Sasa habu ona hapo chini kilio Lowassa alichokipeleka CCM ambacho Makamba hakupenda kutaja.

1. Viti maalumu vya CCM vimepungua kwa 40% toka 79 bunge lilopita la10 mpaka 62 bunge la11. Wakati CHADEMA na CUF viti hivyo vimeongezeka haya ni maumivu makubwa

2. CCM imenyang`anywauongozi wa majiji 4 kati ya majiji 5imebakiwa na uongozi katika jiji moja tu la Mwanza,. Majiji yafuatayo CCM nichama cha upinzani , Jiji la Mbeya, Jiji kuu la Dar-es-Salaam, Jiji la kitaliila Arusha na jiji la Tanga ambalo ilikuwa ni ngome yao, ngome imevunjwa.

3. Ruzuku ya CCM imepungua kwa 40% kutokana na kuraza rais alizopata , mgao wa ruzuku utakuwa 60 kwa 40 kwa maana 58% alizopataRais Magufuri kwa desilimali ya karibu itakuwa 60, na 39.8% ya kura za Lowassaalizopata kwa desilimali ya karibu itakuwa 40. Kwa hiyo CHADEMA imeinya`anyaCCM 20% ya ruzuku, je! Siyo maumivu hayo?

4. Uongozi wa halmashauri ndiyo usiseme. Kabla yaLowassa halmashauri zilizokuwa zinaongozwa na wapinzani zilikuwa 5 sasahalmashauli hizo zimeongezeika na kufika 30, katika halmashauri hizo CCMwatakuwa bachbancher.

5. Kuna kilio manispaa ya Mtwara/Mkindani na Mtwaravijijini kwa Hawa Ghasia, huenda Umeya wa Shilingi na wa Ndazigula umeotambawa.

Haya ndo ilitakiwa Mh. January Makamba ayaseme katika kile kikao chawaandishi wa habari alichokiitisha.

MPE COMMENT YOYOTE RAIS WA WATU POPOTE PALE ALIPO ITAMFIKIA....
 
Aj5OjqzYyfAus0G6TlRQ3PZK35OfT6kpMqvG4VCIvvHa.jpg
 
Makamba anataka uwaziri mkuu..lazima asifie sana na kujitapa..ili akumbukwe
 
Halafu CCM wanajisifia wamefanya campaign ya kisayansi wakati asilimia kubwa ya kura 6m za Lowassa zimetoka mijini na ndiko walipopoteza majimbo mengi ya ubunge.

Kiasharia ni kwamba kwenye mikusanyiko ya watu wengi wenye mwamko na ndio asilimia kubwa ya watu wanaotumia social media CCm imeshindwa? where is the evidence impact ya social media imesaidia on changing their vote to people who had already made their minds? only January and JK can justify that.

Campaign ya CCM ilikuwa ovyo sana wamerudi kutokana na watu wale wale walio na participation ndogo sana ya siasa au siasa za kila siku na maamuzi yake sio sehemu kubwa inayoathiri maisha yao ya kila siku, it is very bad considering Lowassa alikuwa mgonjwa na mtuhumiwa wa kila aina ya ubadhirifu, these guys need to reposition the party image in the coming years to reflect their ideology.
 
Kamwe hawezi ondoka katika mioyo yetu...acha walio dandia muujiza wake wajikweze lkn soon km Mungu aishivyo...lazma atajibu tena atajibu kwa moto.
 
ni kweri tunamsifu na kumuita loasa ndie raisi wetu lakin ukwer uta retain kua magufuri ndio raisi wa TZ kwa sasa tuachane na mambo ya siasa tukakomae na shughuri za maendeleo....tukumbuke kama tunaitaji mabadiliko ya kweli tukakmae na KAZI ndio msingi wa maendeleo na sio siasa wala raisi
 
Kweli Lowasa elimu ni muhimu.Huyu sijui Magufuli atamsaidiaje . Shidaaa
 
ni kweri tunamsifu na kumuita loasa ndie raisi wetu lakin ukwer uta retain kua magufuri ndio raisi wa TZ kwa sasa tuachane na mambo ya siasa tukakomae na shughuri za maendeleo....tukumbuke kama tunaitaji mabadiliko ya kweli tukakmae na KAZI ndio msingi wa maendeleo na sio siasa wala raisi
Chini ya CCM haiwezekani wewe! Kikwete aliahidi maisha bora, sasa keshaondoka, Je TANZANIA kuna maisha bora?
 
HUYO NDIO LOWASSA RAIS WETU

Ujio wa Lowassa UKAWA umepeleka kilio kikubwa sana CCM japo kuwa wanajikazakinyasa wanakufa na Tai shingoni. Majuzi Mh. January Makamba aliita waandishi wa habari na kujinasibu eti CCMimepata wabunge 176 mpaka sasa na kufanikiwa kugomboa majimbo 11 yaliyokuwa yawapinzani.

Sasa habu ona hapo chini kilio Lowassa alichokipeleka CCM ambacho Makamba hakupenda kutaja.

1. Viti maalumu vya CCM vimepungua kwa 40% toka 79 bunge lilopita la10 mpaka 62 bunge la11. Wakati CHADEMA na CUF viti hivyo vimeongezeka haya ni maumivu makubwa

2. CCM imenyang`anywauongozi wa majiji 4 kati ya majiji 5imebakiwa na uongozi katika jiji moja tu la Mwanza,. Majiji yafuatayo CCM nichama cha upinzani , Jiji la Mbeya, Jiji kuu la Dar-es-Salaam, Jiji la kitaliila Arusha na jiji la Tanga ambalo ilikuwa ni ngome yao, ngome imevunjwa.

3. Ruzuku ya CCM imepungua kwa 40% kutokana na kuraza rais alizopata , mgao wa ruzuku utakuwa 60 kwa 40 kwa maana 58% alizopataRais Magufuri kwa desilimali ya karibu itakuwa 60, na 39.8% ya kura za Lowassaalizopata kwa desilimali ya karibu itakuwa 40. Kwa hiyo CHADEMA imeinya`anyaCCM 20% ya ruzuku, je! Siyo maumivu hayo?

4. Uongozi wa halmashauri ndiyo usiseme. Kabla yaLowassa halmashauri zilizokuwa zinaongozwa na wapinzani zilikuwa 5 sasahalmashauli hizo zimeongezeika na kufika 30, katika halmashauri hizo CCMwatakuwa bachbancher.

5. Kuna kilio manispaa ya Mtwara/Mkindani na Mtwaravijijini kwa Hawa Ghasia, huenda Umeya wa Shilingi na wa Ndazigula umeotambawa.

Haya ndo ilitakiwa Mh. January Makamba ayaseme katika kile kikao chawaandishi wa habari alichokiitisha.

MPE COMMENT YOYOTE RAIS WA WATU POPOTE PALE ALIPO ITAMFIKIA....

Hahaaaaaaaa
 
I'll be that to side with whomever thought of EL's Win.
 
Jana wakati magufuli anaapishwa mimi na familiya yangu tulikuwa tunaapishana kuto tambua ushindi wa ccm
 
Lowassa ni shujaa.. Actually hii nchi inaenda kubadilika watake wasitake manake imebidi waibe kura kwa mabavu...
 
Back
Top Bottom