Lowassa alifuata nini Iringa?

Lowassa alifuata nini Iringa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,350
Reaction score
271,721
ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?
 
Huwa najiuliza sana, hivi Lowassa anautafuta urais wa nini wakati afya yake imedhoofu kiasi hicho? Na kama urais ndio unatafutwa hivyo, basi tujiandae kwa mateso.
 
Mtake mstake, Lowasa ni Kiongozi katika hii nchi. Cheo cha Askofu sio cha kijiji. Na kwamsiofahamu Baba Ngalalekumtwa ndiyo mwenyekiti wa baraza la maaskofu. Hivyo basi shughuli ya jubilee yake lazima watu kama Lowasa waalikwe
 
waalikwe kama nani ?
 
Huwa najiuliza sana, hivi Lowassa anautafuta urais wa nini wakati afya yake imedhoofu kiasi hicho? Na kama urais ndio unatafutwa hivyo, basi tujiandae kwa mateso.

Weee ! Unasema kweli mkuu ?
 
ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?

Kaka ni shida kuwazuia hao moja kwa moja, juzi hapa Membe alienda Mwanza kwenye kuzindua sijuhi kitu gani na alifanya kampeni live
 
Inakokwenda watataka hadi "asikate gogo"

Mkuu na wewe ume onja kitei na sumu pale Ilboru? maana hiyo terminology ya Ilborians... Bahati mbaya sana kwa sasa Lowassa hazuiliki! presence yake inawaogofya akina Joka la Mdimu na watu wake ....
 
Aalikwe kama waziri mkuu mstaafu, sorry sio mstaafu, aliyejiuzulu, sorry tena leo nachapia sana sio aliyejiuzulu ila aliyeshinikizwa kujiuzulu kwa shinikizo la juu kutokana na kashfa nzito ya ufisadi wa RICHMOND.

nimecheka sana !
 
ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?
we ni -------- sana

ana haki ya kufanya mambo binafsi

sijasikia unaongelea any other people wanaoonekana kwenye hafla??

this irritates sana
 
nimecheka sana !
Teh teh teh! Ndo hivyo mkuu, ni kosa kubwa sana kumuita Lowassa mstaafu maana hakustaafu muda wake ulikuwa bado pia hakujiuzulu kwa hiari yake bali kwa shinikizo tena la juu sana kwa kashfa nzito sana ya Richmond.
 
Back
Top Bottom