HEKIMA KWANZA
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 2,942
- 3,937
Mwambieni mwenzio Kikwete yuko Dodoma anakagua shamba lake la zabibu. Lowassa bado anawinda urais! Kila zama na mambo yake, zama za Lowassa zimepita, alee wajukuu sasa na awape vijana waendelee na mikiki mikiki ya siasa.