barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,938
Leo jioni Maalim Seif Sharif Hamad amekutana kwa mazungumzo ya faragha na mgombea wa UKAWA Mh.Edward Lowassa jijini Dsm.
Wachunguzi wa mambo wanasema mazungumzo yao yalilenga ktk kuuimalisha na kuudhibiti hila na chokochoko dhidi ya UKAWA na kuzungumzia suala la Prof Lipumba "kuukimbia" umoja huo.Mazungumzo hayo yalikuwa ya mafanikio na maelewano makubwa
[.