SeriaJr TW
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 246
- 224
Sijui umekula maharage ya wapi?hajafundisha kuhusu upigaji? maana maana edo yupo vzr kwenye hyo sector
Yupo.. Unajisikiaje sasa kufahamu hili?hizi ndizo kazi za katibu mkuu wa chama,lakini hata hapo napo hayupo.....mshauri wa chama ndio anakuwa juu kukiendeleza chama kuliko katibu wa chama?mshauri anakuwa na mipango thabiti kuliko katibu wa chama??
Umeona eee!, Majanga njomba nchumari.hizi ndizo kazi za katibu mkuu wa chama,lakini hata hapo napo hayupo.....mshauri wa chama ndio anakuwa juu kukiendeleza chama kuliko katibu wa chama?mshauri anakuwa na mipango thabiti kuliko katibu wa chama??
Katibu Mkuu Taifa na Kanda Wapo..Jambo jema sana.
Swali Mboe, katibu Mkuu mbona siwaoni hapo. Ni mgawanyo wa majukumu? Au ndo kale ka mfukuto ka Chini Chini?
Weka Sawa sijakupata mkuuKatibu Mkuu Taifa na Kanda Wapo..
Akizungumza katika mkutano wa mameya na wenyeviti wa Halmahauri watokanao na CHADEMA unaofanyika East Africa Hotel Arusha leo, Mh Lowassa amesema..
Tunataka halmashauri zetu ziwe za mfano Tanzania kwakuwa na Agenda ili tujue nikipi kipaumbele cha kuwatumikia wananchi, pia tuangalie Ni kitegauchumi kipi katika halmashauri husika kinaweza kuwapa wananchi wetu ajira.
Pili Tunataka kuimarisha Chama chetu kwa kushuka chini hadi ngazi ya Msingi ambapo ndipo walipo wanachama watu, (Grass Root.)
Pia nataka niwashauri Mameya wetu kuhakikisha wanashirikiana na wananchi katika kutekeleza ahadi ya Mabadiliko na Maendeleo.
Katika kikao hicho maalumu cha mkakati, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji na Katibu wa Kanda ya Kaskazini wampata fursa ya kutoa mafunzo mkakati na nasaa zao.
View attachment 364518 Picha ya pamoja bada ya session ya kwanza
View attachment 364519
View attachment 364520
View attachment 364521
View attachment 364522
View attachment 364523
na ndicho nahic wanachotofautiana na yule dogo wa kibamba... japo yapo na mengineHicho ndicho kilichomuondoa CCM fisadi Lowasa, yeye ukubwa tu ndiyo anataka kinyume na hapo hamuendani, sasa hapo Lowasa wamemfikisha kwamba yeye ndiyo mkubwa na siku watakapokuja kugombana na chadema ni ile siku ambayo watachallenge huko kupenda ukubwa wake hapo ndiyo utakuwa mwisho wa Lowasa chadema!
Lowasa atawasumbua sana chadema, huyu jamaa ni mgonjwa!