zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,220
Ni zaidi ya upumbavu! Atawale EL, viibuke UAMSHO kila kona ya nchi, watuchinje wapendavyo; jambo moja linasimama - EL atapita, UAMSHO watapita, sisi tutapita bali TAIFA LITADUMU MILELE.
Atachaguliwa na nani? We aint fools anymore.
Kwa kuwa atakuwa rais na mimi ntakuwa ni mmbunge basi atanichagua kuwa waziri wa vijana na maendeleo ya wanawake
awezi kuwa raisi wa nchi kwa sababu asilimia kuwa ya watanzania awampendi lowasa kwa tuhuma za ufisadi
Lowasa akiwa chama chochote iwe ccm au chochote kile, lazima nimpigie kura.Akiwa rais huyu jamaa EL itakuwa poa sana. Wavivu watalia sana. Waliomsingizia watahama nchi. " Mheshimiwa mwenyekiti kumbuka nilikushauri tuuvunje mkataba wa richmond lakini wewe ulikataa na ukasema ulishapata ushauri wa kamati kuwa lichmond ni bomba sana"
Kosa alilofanya ni kujiuzulu,kama alimlinda JK kwa kujiuzulu,ni nini kinakufanya kuamini kuwa hatamlinda akichukuwa urais?Msiweke matumaini kwa mwanadamu hata siku moja,tena wanasiasa?Msimjudge mtu kwa mambo ya kufikirika,alijiuzulu,hilo ni kosa,kwasababu alikubali makosa.Angekuwa na msimamo angetoa ushahidi wake ama kuweka ukweli wazi mbele za wananchi,badala yake aliona wananchi siyo wa maana zaidi ya nia yake ya kwenda ikulu kwa kujiuzulu ili serikali hii iendelee kuwepo bila wasiwasi akitegemea na yeye atalipwa fadhila kwenye mbio zake za kwenda ikulu.Akiwa rais huyu jamaa EL itakuwa poa sana. Wavivu watalia sana. Waliomsingizia watahama nchi. " Mheshimiwa mwenyekiti kumbuka nilikushauri tuuvunje mkataba wa richmond lakini wewe ulikataa na ukasema ulishapata ushauri wa kamati kuwa lichmond ni bomba sana"
Kama bado atakuwa hai na kama chadema hawatakuwa makini kuanzia sasa,huyu jamaa ataenda kuishi pale magogoni bila wasiwasi wowote.thought the same