Lowassa akiwa Rais...

CCM haina chake 2015. Watakuwa wanaozea jela na kunyongwa.
 

Hivi wewe Juma K huoni kama wote hao ni Magamba? Nani kakwambia kuwa magamba yanahitajika tena 2015?
 
Labda yesu arudi ndo sitta atakuwa waziri mkuu..aliukosa uwaziri mkuu wakati wa awamu ya kwanza jk akichukua urais hatakaa aupate tena...the plan was sitta awe PM lowassa awe waziri wa fedha buy EL akabadilika mwishoni na kuutaka u PM...sitta akanuna na ndo akaanza bifu na EL...ntarudi na details kwa wenye nia ya kujua zaidi...
 

Siwezi kushindwa kwa jina la muongo aliyeudanganya ulimwengu atarudi mpaka leo miaka zaidi ya 2000 hajaonekana.
 
U cannot change your mind and u won't change the subject!
 
Kumekuwa na dhana ya kumpinga huyu kwa kila afanyacho na hii yote ni kutokana kashfa zinazo mtafuna hasa Richmond ambayo ili mpelekea akajiudhuru u PM.
Tuwe wawazi wana JF WOTE HUMU JUKWAANI MTACHUKUA hatua gani endapo CCM itampitisha Mh.Edward Lowasa kuwa Mgombea wa kiti cha Urais 2015 Akashinda na kuwa Rais?

Nyie Wote ambao hamko upande wake na wala hamtamani nchi hii kuwa Mikononi mwa EL mtachukua maamuzi gani?

1] Je mtaunda vikundi vya kupingana na utawala wake?
2] Mtamsaidia kwa ushauri kulisukuma taifa hili mbele kimaendeleo?

Fungukeni tujue isije ikatokea kuwa na vikundi vingi vya UAMSHO,vitakavyokuwa na mlengo wa kushoto.

Mods naomba msiitoe hii thread lengo ni kupenda kufahamu na kuelewa kama El,atakuwa Rais atakutana na changamoto.
 
akishinda anaweza akazipora rasimali za umma kwa kujiachia halafu akajiuzulu urais
 
Ni zaidi ya upumbavu! Atawale EL, viibuke UAMSHO kila kona ya nchi, watuchinje wapendavyo; jambo moja linasimama - EL atapita, UAMSHO watapita, sisi tutapita bali TAIFA LITADUMU MILELE.
 
I will congratulate him and see how he deliver I believe the guy is going to very good.
 
atashindaje? kwa kuchakachua au kwa halali? kama ni kwa halali nitampa ushirikiano coz ndo chaguo la waTZ.
 
Kwa kuwa atakuwa rais na mimi ntakuwa ni mmbunge basi atanichagua kuwa waziri wa vijana na maendeleo ya wanawake
 
just tell your paymaster that all he has to do is this, he should try harder to stay alive b4 2015
 
Akiwa rais huyu jamaa EL itakuwa poa sana. Wavivu watalia sana. Waliomsingizia watahama nchi. " Mheshimiwa mwenyekiti kumbuka nilikushauri tuuvunje mkataba wa richmond lakini wewe ulikataa na ukasema ulishapata ushauri wa kamati kuwa lichmond ni bomba sana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…