Lowassa akiwa Rais, Mwakyembe na wenziwe wataishi wapi?

Lowassa akiwa Rais, Mwakyembe na wenziwe wataishi wapi?

KWA TAARIFA YAKO hao wadhamini 879000+ni feki angalia card zao zimenunuliwa lini na wamelipia wapi mfano iringa data base inasema kuna wanachama 26,000 yeye alipata 58,000 sasa anataka kutudanganya watu wazima na akili zetu.
na tena chama inabidi kiangalie huyu jamaa ana malengo yake kwa kua anajua hana sifa "kwa mujibu wa msekwa juzi CLOUDS RADIO"anahangaika kutengeneza wanachama wake kusudi akiondoka aanze kupokea hizo card na ninawahakikishia hii post mtaikumbuka

Mnawakana wanachama wenu..mamvi kawabana mpaka mnakojoa damu
 
Hapo mwandishi kanikumbusha mbali na nyimbo ya Mike T "kama".
Hivi km Mwakyembe akiwa rais lowasa na majambazi wenzake watahamia wapi?
lowasa hana kipaji cha uongozi ila anakipaji cha uongo.
Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe sio watu.
Lowasa ni jipu, ukitumbua vibaya utachafuka wewe, linahitaji timing sana
 
Hivi akipitishwa itakuwaje?
Nitakuwepo dodoma siku hiyo
 
KWA TAARIFA YAKO hao wadhamini 879000+ni feki angalia card zao zimenunuliwa lini na wamelipia wapi mfano iringa data base inasema kuna wanachama 26,000 yeye alipata 58,000 sasa anataka kutudanganya watu wazima na akili zetu.
na tena chama inabidi kiangalie huyu jamaa ana malengo yake kwa kua anajua hana sifa "kwa mujibu wa msekwa juzi CLOUDS RADIO"anahangaika kutengeneza wanachama wake kusudi akiondoka aanze kupokea hizo card na ninawahakikishia hii post mtaikumbuka

mkuu achana na hii takataka lowasa hata rais jana kasema hila hasikii hata wasemeje,
leo humu wameweka video ya kumvua wenyekiti kikwete na kuokolewa na makamba ila moderetar wameifuta lkn hawawezi kusaidia si aliwambia atamwaga mboga wakimwanga ugali tunasubili tuone.
 
Na laiti tukawapa kura watu hawa tunaowaona dhahiri shahiri mapungufu yao katika dhamira zao, Watanzania tusije mlaumu mtu hapo baadae, bi maana sikio la kufa halisikii dawa.
 
Back
Top Bottom