Halafu kinachonifurahisha kwa sasa Mh. Lowassa anaonekana mwenye afya njema na maCCM hayana tena cha kuzungumza na push up yamepunguza baada ya kuona hazilipi tena.
Ripota wa ITV anaeandamana na Lowassa hafai. Nashauri timu ya kampeni ya Lowassa wampige chini huyu dogo watafute mjanja kama Buhohela
Lameck anatosha sana hakuna sababu ya kuwa na mwandishi tapeli kama Buhohela amevaa ukada badala ya uandishi kufoji picha kupiga kampeni
El ni zaidi ya kisu kikali pale lumumba ndio kabsaaaa