Lowassa akabidhiwa rasmi chama, kwafukuta

Kama wewe ni mme, basi una tatizo kwenye hormones zako na kama ni mke bila shaka ni type ya Angelina wa Mrema
Kama wewe ni kipofu basi unamatatizo hata masikio yako na kama we ni kiziwi basi huwezi hata elewa.
 
Kwa sasa ni wazi kuwa CHADEMA kuna jambo kubwa zaidi ya tunavyoona:

i) Jana Mkuu wa Chama cha CHADEMA na aliyekuwa mgombea urais kupitia kundi la UKAWA, E. Lowassa alionekana akiandamana na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Znz, Salum Mwalim, katika ziara katika Jimbo la Monduli. Hili si jambo la kupuzwa kisiasa.

ii) Taarifa zilizopo ni kuwa Salum Mwalim ndo alikuwa chaguo la mkuu wa CHAMA kuwa Katibu Mkuu wa chama badala ya huyu aliyewekwa na Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe. Nafasi ya Salum Mwalim kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ili kuwa wazi hasa ukiangalia uzoefu na ukakamavu ambao aliuonyesha kipindi alipokaimu nafasi hiyo baada ya Dr. Slaa kujiengua na chama kwa sababu ya kumsimamisha Lowassa agombea nafasi ya urais na kuanza kumsafisha na kashfa zilizokuwa zinamwandama.

iii) Kitendo cha Lowassa kuanza kufanya kazi na Mwalim ambaye ni katibu mkuu ZNZ kumetafsiriwa kwa namna nyingine na wananzuoni wa siasa. Wapo wanaosema kweli Mbowe aliuza chama kwa Lowassa na kinyume na Katiba ya chama. Wengine wanasema ndani ya Chadema mambo yamekuwa magumu hivyo kila mtu anataka aonyeshee kuwa aliyemtaka ndo anaweza. Wengine wanasema haya ni maandalizi ya Lowassa kuongoza chama kikatiba katika uchaguzi wa ndani ujao. Haya tuache maana ni maono ya watu tu.

iv) Majuzi imeripotiwa kuwa kuna mgogoro mkubwa umekikumba chama hiki pendwa kwa sababu ya Mwenyekiti amefanya kififie haraka katika anga za siasa za sasa. Imejulikana kuwa wajumbe wa mkutano uliofanyika hivi karibuni, walitoa shutuma kali dhidi yake juu ya kushindwa kuongoza chama katika utawala huu wa rais Magufuli, ingawa haikuonyesha wazi nini ilikuwa chanzo. Nyuma pazia inaonyesha wengi wamechoshwa na maamuzi ya Mbowe yasiyoshirikishi pamoja na shinikizo lake la kumkaribisha Lowassa agombee urais bila kupima mbele nini kitatokea.

Kama haya yapo yanatoa taswira mbaya ya chama mbele ya ummaa wa Watanzania na nafasi ya chama katika siasa za usoni. Na ni dhahiri kuwa kwa sasa msadaa wa kifedha wa Lowassa ndani ya chama umepungua, hasa kumtambulisha Katibu Mkuu, wengi wanajiuliza juu ya ukimya wake.

Maana katika mkutano uliofanyika mkoani Mwanza baada ya kuteuliwa na chama ilikuwa kuzunguka nchi zima kumnadi na kuanza kufufua chama upya.
Enzi ya kwere ungesha jihakikishia elf 7 lkn Magufuli anataka...kwa huu ujinga ulioandika sio rahisi kukuReward so Ongeza kiwango....
 
Enzi za kuzungusha mikono sahizi ungekuwa unazungusha mikono ila kwa kipindi hiki ambacho Edo yuko makumbusho si rahisi kuzungusha.
 
Kila chama huwa kina mikakati yake,kwa nini chadema au com kukosa usingizi kwa ajili ajili ya chama kingine,hasa uongozi?
Why should i bother lowasa kuongoza chadema au magufuli kuongoza ccm? Kama kuna chama kinajishtukia Mtu flani kuongoza chama flani basi huyo Mtu is a threat to chama pinzani.
Kwa Fikra zangu,we need strong opposition to keep balance and check the government of the day.
Upinzani sio uadui wala chama tawala sio uadui,wrote ni watanzania what matters is better service delivery to the citizen.
 
CCM WANAOGOPA KIVULI CHA LOWASSA KULIKO HATA YEYE MWENYEWE ANAVYOKIOGOPA
Nani atakaye fanya mabadilko? kama tulishindwa mwezi wa kumi, na muunganiko wa vyama vyetu?kilichobakia hapa CHADEMA waanze upyaa kabisa, walishakosea , yasibaki malumbano.
 
Dr Slaa ni historia, alikuwa kiongozi mzuri lakini ameonyesha madhaifu makubwa sana katika wakati aliopaswa kuonyesha ujasiri wake. Kamanda wa vita mzuri ni yule anayepigana mpaka tone la mwisho la damu sio anayebwaga silaha na kukimbia kwenda kusemea mbali. Binafsi kaniangusha sina hata hamu naye tena.
hahahah hivi ungekuwa wewe yule mtu uliyekuwa unamtuhumu in public kuwa ni fisadi leo hii anatakuja sio tu kuwa mwanachama baada ya kukiri mapungufu, eti anataka kwenda ikulu. khaaaa... kufanya nini ungekubali
 
Ningekuwa katibu mkuu tena mwenye ushawishi na nguvu kama yeye ningesimamia hoja yangu kwa nguvu zote na kuweka msimamo wazi sio kudhira au kupewa maagizo na mchumba
 
Hawana ujanja inabidi wakubali matokeo.

Kila nikimfikiria mtu kama Baregu, Mabere Marando, Ben Saanane uwa najiuliza awa watu wamewezaje kuwa comfortable kufanya kazi chini ya Lowassa? Nabaki kukubali wanasiasa wote baba yao mmoja ni watu wa maslahi binafsi ya matumbo yao. Ni mara elfu tuendelee kuongozwa ni hili zimwi litujualo lililomkabidhi chama mwanamapinduzi Magu.
Ben sanane ni mtu mdogo sana katika chama hicho. Hana impact yeyote kwa chama hicho.
Wala usimfananishe huyo bwana na Mabere au Baregu.
Anajipendekeza tuu kwenye baadhi ya makundi ndani ya chama hicho. Kukosa tiketi ya ubunge ni kiashiria kidogo tuu cha uchanga wake ndani ya chama.
 
Kwa sasa ni wazi kuwa CHADEMA kuna jambo kubwa zaidi ya tunavyoona:

i) Jana Mkuu wa Chama cha CHADEMA na aliyekuwa mgombea urais kupitia kundi la UKAWA, E. Lowassa alionekana akiandamana na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Znz, Salum Mwalim, katika ziara katika Jimbo la Monduli. Hili si jambo la kupuzwa kisiasa.

ii) Taarifa zilizopo ni kuwa Salum Mwalim ndo alikuwa chaguo la mkuu wa CHAMA kuwa Katibu Mkuu wa chama badala ya huyu aliyewekwa na Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe. Nafasi ya Salum Mwalim kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ili kuwa wazi hasa ukiangalia uzoefu na ukakamavu ambao aliuonyesha kipindi alipokaimu nafasi hiyo baada ya Dr. Slaa kujiengua na chama kwa sababu ya kumsimamisha Lowassa agombea nafasi ya urais na kuanza kumsafisha na kashfa zilizokuwa zinamwandama.

iii) Kitendo cha Lowassa kuanza kufanya kazi na Mwalim ambaye ni katibu mkuu ZNZ kumetafsiriwa kwa namna nyingine na wananzuoni wa siasa. Wapo wanaosema kweli Mbowe aliuza chama kwa Lowassa na kinyume na Katiba ya chama. Wengine wanasema ndani ya Chadema mambo yamekuwa magumu hivyo kila mtu anataka aonyeshee kuwa aliyemtaka ndo anaweza. Wengine wanasema haya ni maandalizi ya Lowassa kuongoza chama kikatiba katika uchaguzi wa ndani ujao. Haya tuache maana ni maono ya watu tu.

iv) Majuzi imeripotiwa kuwa kuna mgogoro mkubwa umekikumba chama hiki pendwa kwa sababu ya Mwenyekiti amefanya kififie haraka katika anga za siasa za sasa. Imejulikana kuwa wajumbe wa mkutano uliofanyika hivi karibuni, walitoa shutuma kali dhidi yake juu ya kushindwa kuongoza chama katika utawala huu wa rais Magufuli, ingawa haikuonyesha wazi nini ilikuwa chanzo. Nyuma pazia inaonyesha wengi wamechoshwa na maamuzi ya Mbowe yasiyoshirikishi pamoja na shinikizo lake la kumkaribisha Lowassa agombee urais bila kupima mbele nini kitatokea.

Kama haya yapo yanatoa taswira mbaya ya chama mbele ya ummaa wa Watanzania na nafasi ya chama katika siasa za usoni. Na ni dhahiri kuwa kwa sasa msadaa wa kifedha wa Lowassa ndani ya chama umepungua, hasa kumtambulisha Katibu Mkuu, wengi wanajiuliza juu ya ukimya wake.

Maana katika mkutano uliofanyika mkoani Mwanza baada ya kuteuliwa na chama ilikuwa kuzunguka nchi zima kumnadi na kuanza kufufua chama upya.
Kunashida gani kufanya kazi na naibu katibu .achilia mbali katibu mkuu kwa sasa hivi yupo nje ya nchi akiwakilisha chama.kwanza wewe ni chadema gani unayoijua kiasi hiki ushindwe kujua katibu mkuu hayopo nchini sasa hivi.tafuta kazi ya kufanya kwa sasa hivi majungu umbea havina nafasi [emoji12]
 
Shida si kufanya kazi na Naibu Katibu Mkuu, shinda ni pale panapokuwa na shida ya utendaji wa kweli kwa sababu ya shida za ndani ya chama.

Si mara ya kwanza Lowassa kufanya kazi nje ya msingi wa chama. Amekuwa anaita vikao binafsi na baadhi ya viongozi wa chama na pia kutoa maagizo. Hii haiingii akilini kuwa watu wenye nafasi zao huwa hawahusiki katika hayo.
Kunashida gani kufanya kazi na naibu katibu .achilia mbali katibu mkuu kwa sasa hivi yupo nje ya nchi akiwakilisha chama.kwanza wewe ni chadema gani unayoijua kiasi hiki ushindwe kujua katibu mkuu hayopo nchini sasa hivi.tafuta kazi ya kufanya kwa sasa hivi majungu umbea havina nafasi [emoji12]
 
Bora ubadili hiyo ID haikufai maana mwenye jina hilo /sifa hizo hafanani na mpenda uzushi kama unavyofanya hapa

Ofisi ya Katibu Mkuu ndio huratibu ziara zote.

tatizo wewe ben saanane ulikuwa hauchoki kumsema lowasssa sasa leo hauoni haya? au fisadi akiwa ndani ya ccm akihamia chadema anakuwa msafi.,
 
SIJAJUA KWANINI WANA CCM WANAWASHWA KIASI HIKI,NYIE VURUGENI2 NA HUYO RAIS
WENU CHADEMA IMEKAA KIMYA MMEPANIC HATARI
 
CHADEMA haijakaa kimya ila haina cha kusema. Maana wamepoteza hoja zote za msingi kwa jamii.
 
Back
Top Bottom