Halafu ata hao CCM wengine awasikiki nimemuona Luhavi tu mara moja akifanya ziara ya ukaguzi tena bila ya television crew.
Waliobaki wote ni UVCCM, matamko ya barua kutoka kwa Sendeka na matamko ya wizara kusapoti hoja za serikari.
Hila hakuna camera tena na kuita waandishi wa habari Lumumba kutetea asilimia kubwa ya matendo controversy ya serikari. Walifanya mwanzo tu wakati wa ziara za kustukiza kuunga mkono wakidai ni sehemu ya ilani yao lakini kwa sasa kama wako likizo.
Lowassa ni mtu wa hesabu yeye mwenyewe na wengi wetu tulijua ameisha, jinsi uongozi huu unavyotumia nguvu kuuzi wananchi kila siku zinavyozidi lazima Lowassa aone mwanga tena labda 2020 inawezekana simuoni akiama CDM ndio kwanza atakuwa anapanga strategy za baadae.