Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni mtoto wa Rais mstaafu wa JMTZ Ridhwani Kikwete ananifurahisha sana, yeye amewekeza muda wake mwingi na kwenye kurudisha kwa Wananchi alichokivuna, kila siku utamuona kachangia fedha hapa , kafungua hospitali pale n.k. hivyo Lowassa alipaswa ajifunze nakuiga kutoka kwa R.Kikwete jinsi ya kurudisha kwa Wananchi badala ya kupiga picha na kuwakejeli masikini ukiwa kwenye ranchi yetu ambayo uliipora, grow up man Lowassa, kwa umri wako hii aibu kuwakejeli Wananchi masikini namna hii, angalau piga picha ukitoa mchango kwa Wananchi na sio kutuonyesha wewe na Familia yako mkikagua ranchi yetu huo siyo ukomavu.
Ridhwani
vs
Lowasa
Lowasa