Lowassa ajifunze kutoka kwa Ridhwani Kikwete!

Kikwete umemsahau kamrithisha na mwanae Riz wanatamba tu kwa sasa wanakula vyao hawana habari
Siye huku tunavurugana tu.mara chato mara kaskazini.alimradi tunavuma tu kama upepo uzururao nyikani!wao sirini na hadharani wanagonga bilauri!!ah aliyeturoga huyu alaaniwe milele.
 
Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni mtoto wa Rais mstaafu wa JMTZ Ridhwani Kikwete ananifurahisha sana, yeye amewekeza muda wake mwingi na kwenye kurudisha kwa Wananchi alichokivuna, kila siku utamuona kachangia fedha hapa , kafungua hospitali pale n.k. hivyo Lowassa alipaswa ajifunze nakuiga kutoka kwa R.Kikwete jinsi ya kurudisha kwa Wananchi badala ya kupiga picha na kuwakejeli masikini ukiwa kwenye ranchi yetu ambayo uliipora, grow up man Lowassa, kwa umri wako hii aibu kuwakejeli Wananchi masikini namna hii, angalau piga picha ukitoa mchango kwa Wananchi na sio kutuonyesha wewe na Familia yako mkikagua ranchi yetu huo siyo ukomavu.

Ridhwani
proxy

vs
Lowasa
img-20161226-wa0092-jpg.450659
Chuki huwa inawatafuna wengi
 
Hiyo nafasi hata wewe unayo kwa nini usifanye wewe Lowasa ni nani kwako?

Lowasa sio size ya Ridhiwan size za Lowasa nadhani unazijua
 
Acha kumfananisha Waziri Mkuu mstaafu na vitu vya kijinga.
Waziri mkuu mstaafu my foot! Amestaafu lini? Amefukuzwa na kamati ya mwakyembe manake kulazimishwa kujiuzulu ni sawa na kufukuzwa tu. Anaitwa waziri mkuu wa zamani sio mstaafu.
 
Hivi hamchoki? Lowassa Lowassa mwacheni Mzee wa watu apumzike mmemsema sana oneni aibu.Ridhiwani ndio ajifunze Kwa Lowassa sio Lowassa ajifunze Kwa Ridhiwani
Lowassa hawezi kuachwa apumzike na watanzania jinamizi la ufisadi alioufanyia nchi litamtafuna mpk aingie kaburini tuna hasira naye saana bahati yake kulindana kwa ccm ndo kulikomfanya aendelee kupiga misele otherwise hakutakiwa kuwa hata mbunge alistahili kuwa behind bars by now ole wake.
 
Ushauri huu uingizwe kwenye kumbukumbu ya ushauri ovyo kabisa kutolewa mwaka 2016. Eti USA ijifunze kutoka Chad namna ya kukuza uchumi!!!
 
Rizwani na ukinda wake huwezi kumlinganisha na Lowasa hata siku moja. Lowasa ni investor wa miaka mingi hivyo kuwa na fedha na kuonyesha umakini was matumizi ni tofauti na hicho kikinda cha juzi kuwa na pesa nyingi. Lazima kairudishe kwa wananchi
Fedha unayomsifia kaipata wapi? Wakati amekuwa kiongozi wa taifa tokea akiwa na miaka 28 alifanya na kusimamia biashara saa ngapi? Alipata mtaji wapi? Hivi unadhani lowassa ni fisadi wa mchezo mchezo ni fisadi mkongwe kabisa miaka ya 90 akiwa mtumishi wa serikali maskini anakodi ndege kwenda umbali wa kilomita 600 mahali ambako hata rais na waziri wake mkuu walitumia gari. Lowassa fisadi wa kiwango cha phd.
 
Lowassa hawezi kuachwa apumzike na watanzania jinamizi la ufisadi alioufanyia nchi litamtafuna mpk aingie kaburini tuna hasira naye saana bahati yake kulindana kwa ccm ndo kulikomfanya aendelee kupiga misele otherwise hakutakiwa kuwa hata mbunge alistahili kuwa behind bars by now ole wake.

Ndio maana tunasema CCM ndio mlezi wa ufisadi nchini. Imagine ilivyomlinda 'fisadi' lowassa, jiulize ni wangapi wanalindwa kwa staili hii. Hakuna namna tunaweza kuitendea haki nchi hii bila kukifurusha chama hiki kutoka madarakani. Kataa ufisadi, kataa mlezi wa ufisadi
 
Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni mtoto wa Rais mstaafu wa JMTZ Ridhwani Kikwete ananifurahisha sana, yeye amewekeza muda wake mwingi na kwenye kurudisha kwa Wananchi alichokivuna, kila siku utamuona kachangia fedha hapa , kafungua hospitali pale n.k. hivyo Lowassa alipaswa ajifunze nakuiga kutoka kwa R.Kikwete jinsi ya kurudisha kwa Wananchi badala ya kupiga picha na kuwakejeli masikini ukiwa kwenye ranchi yetu ambayo uliipora, grow up man Lowassa, kwa umri wako hii aibu kuwakejeli Wananchi masikini namna hii, angalau piga picha ukitoa mchango kwa Wananchi na sio kutuonyesha wewe na Familia yako mkikagua ranchi yetu huo siyo ukomavu.

Ridhwani
proxy

vs
Lowasa
img-20161226-wa0092-jpg.450659
VILA.ZA
1.BARBAROSA
2.LIZABONI
3RUTASHOBOLWA

Nyie ni wagonjwa wa akili bila kumsahau faiza foxy

Watu tunajadili kupanda kwa umeme nyie kama kawaida yenu kuendekeza unazi tu

Mtaolewaaa
Lowassa anahisi asipofanya usanii wa mapicha picha front page atapotea ndio maana haishi vituko,
 
Back
Top Bottom