Magufuli fumba macho, kopa haya kutoka kwa Lowassa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Kwanza kabisa Nianze Kwa Kukupongeza Kwa Utendaji Wako Mzuri Wa KUTUKUKA Ulionza Nao Katika Uongozi Wako Ambao Nina Imani Kuwa Utatutoa Watanzania Hapa Tulipo Na Pia Nikiri Kuwa Mimi Ni Mmoja Wa Watu Wenye MAPENZI YA KINDAKINDAKI Na Wewe Ambayo Yalinifanya Nipate Taabu Nyingi Kutoka Kwa WAPINZANI Na Hata WALE WALIOKUWA HAWAKUTAKI Ndani Ya Chama Chetu Cha CCM Lakini Nikasimama Na Msimamo Wangu Wa KIASILI Kuwa Hata Iweje NITAKUUNGA MKONO Kwa Gharama Yoyote Ile Ili Uje Utuongoze Na Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu Kuwa Kweli Umekuwa Rais Wetu Na Sasa Unafanya Kile Ambacho Kilionekana Ni Taboo Kufanyika Ndani Ya CCM Yetu Hii Ya DIGITAL Na Iliyokuwa Imejaa USANII Na UHUNI Mwingi Hali Iliyosababisha Hadi WANANCHI KUTUCHOKA Na Kukupa Wewe Taabu Sana Katika KAMPENI Zako.

Mheshimiwa Rais Wangu Nimeanza Na Muktadha Huo Kama Sehemu Ya UTANGULIZI Wangu Kwa Kile Ambacho Nataka Nikiseme Kwako au Nikuambie Leo Na Nitakuomba Sana Uwe Mvumilivu Kwani Kwa Kawaida Dawa Ya GENTAMYCINE INA MAUMIVU LAKINI HUWA INATIBU KISAWASAWA, UNAPONA NA HUUGUI TENA.

Mheshimiwa Rais Wangu / Wetu Najua SIASA Zina Taratibu Zake Na Hasa Huku Kwetu Afrika SIASA Ni UADUI Na Siyo UJENGAJI Wa HOJA Zenye MANTIKI Na MASHIKO Kwa Maslahi Ya Nchi Yetu au Taifa Letu Hivyo Kila Wakati Wanasiasa Wetu Wamekuwa WAKIZOZANA Tu Badala Ya Kujenga Nchi.

Naamini Kabisa Kuwa Wewe Ni Mwana CCM Mheshimiwa Rais Wangu / Wetu Dkt. John Pombe Joseph MAGUFULI Na Pengine Labda UTAOGOPA Kufanya Baadhi Ya Mambo Kwa KISINGIZIO Cha ILANI Na KANUNI Za Chama Ila KWA MIEZI YAKO HII MICHACHE TU MADARAKANI Nimegundua Vitu Kadha Wa Kadha Ambavyo Ni Vya CHANGAMOTO Kwako Lakini Kama UKIVIZIAZIMA Kutoka Kwa Mpinzani Wako Mzee Wetu Aliyekuwa Mgombea Urais Wa UKAWA Ndugu Edward Ngoyai Lowassa Vitakusaidia Mno UONGOZINI.

Mheshimiwa Rais Mwambie Lowassa AKUAZIME Haya Yafuatayo Ambayo Nimeanza Kuona Kuwa Ama Huna au Umeamua Tu Moja Kwa Moja Kuwa MNOKO:

  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya UVUMILIVU.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya USIKIVU.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya Kutopenda SIFA ZA HOVYO HOVYO.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya KUTOKUKURUPUKA.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya Kuwa Na KIASI.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya Kufanya INTERNATIONAL DIPLOMACY.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya Kutokuwa Na VISASI KWA WANAOMPINGA.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya KUTOKUONGEA KWA HASIRA / JAZBA.
Nina UHAKIKA Usio Na Mashaka Kuwa Mheshimiwa Rais Wangu UKIMWOMBA TU Mzee Lowassa AKUAZIME Hayo MEMA Yake Utaongoza Vizuri Sana Na Nchi Itaenda.

NB: Mwisho Naomba Nimalizie Kwa Kukushauri Kuwa Japo Wewe Na Lowassa Mpo Vyama Tofauti Na Vyenye Itikadi Tofauti Ila Si Vibaya UKIFUMBA MACHO NA KUSAHAU YOTE NA UKAMTUMIA Mzee Lowassa AKUSAIDIE Katika Maeneo Kadhaa Ambayo Naamini ANAKUZIDI Na Si Kutokana Labda HUJUI au HUNA Uwezo Bali Ni Kutokana Na Kwamba Mzee Lowassa Amepata Exposure Ya Issues Ndani Na Nje Ya Nchi Kabla Yako. Mpe Nafasi Huyu Mzee Kwani Bado Ana MADINI Mazuri Kichwani Ambayo Si Tu Yatakusaidia Wewe Bali Nchi Na Sisi Watanzania Wote.

Kama Rais Mstaafu Kikwete Alifumba Macho Na Kumteua Ubunge Injinia James Mbatia Wa NCCR-MAGEUZI Huku Yeye Akiwa Ni Mwenyekiti Wa Taifa Wa CCM Na Michango Ya Mbatia Tukaiona Bungeni Na Hadi Huku Katika Jamii Yetu Iweje Wewe Ushindwe Kumteua Na Kumtumia Mzee Edward Ngoyai Lowassa Katika Kipindi Hiki Cha Uongozi Wako?

Naomba Niishie Hapa Mheshimiwa Rais Wangu Dkt. Magufuli Ila Yachukue Haya Niliyokuambia Kwa Jicho PEVU Na Lenye UMAKINI Na Ipo Siku Utakuja Kunikumbuka. Nakupenda Wewe, Nampenda Lowassa Na NAWAPENDA WATANZANIA Wote. Mungu Ibariki Afrika Mungu Ibariki Tanzania.

Nawasilisha!
 
JF naona leo server zitajaa pongezi tu, kuna thread nyingine nimekutana nayo pia jamaa anatoa pongezi
 
Umeanza kupona kichaa chako tiba tunayokupa inafanya kazi umeandika vizuri kama msomi uliyesoma kwenye chuo kilichotukuka na kozi iliyotukuka hongera sana kwa ushauri nina hakika akiifuata atakuwa rais bora kabisa.
mimi pia nilimpa vipande vyake akakimilia kwa mod sasa naona kanisikiliza leo ka jiita hidi.safi sana na po gezi kwa kukubali ushauri wangu.

swissme
 
Kwanza kabisa Nianze Kwa Kukupongeza Kwa Utendaji Wako Mzuri Wa KUTUKUKA Ulionza Nao Katika Uongozi Wako Ambao Nina Imani Kuwa Utatutoa Watanzania Hapa Tulipo Na Pia Nikiri Kuwa Mimi Ni Mmoja Wa Watu Wenye MAPENZI YA KINDAKINDAKI Na Wewe Ambayo Yalinifanya Nipate Taabu Nyingi Kutoka Kwa WAPINZANI Na Hata WALE WALIOKUWA HAWAKUTAKI Ndani Ya Chama Chetu Cha CCM Lakini Nikasimama Na Msimamo Wangu Wa KIASILI Kuwa Hata Iweje NITAKUUNGA MKONO Kwa Gharama Yoyote Ile Ili Uje Utuongoze Na Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu Kuwa Kweli Umekuwa Rais Wetu Na Sasa Unafanya Kile Ambacho Kilionekana Ni Taboo Kufanyika Ndani Ya CCM Yetu Hii Ya DIGITAL Na Iliyokuwa Imejaa USANII Na UHUNI Mwingi Hali Iliyosababisha Hadi WANANCHI KUTUCHOKA Na Kukupa Wewe Taabu Sana Katika KAMPENI Zako.

Mheshimiwa Rais Wangu Nimeanza Na Muktadha Huo Kama Sehemu Ya UTANGULIZI Wangu Kwa Kile Ambacho Nataka Nikiseme Kwako au Nikuambie Leo Na Nitakuomba Sana Uwe Mvumilivu Kwani Kwa Kawaida Dawa Ya GENTAMYCINE INA MAUMIVU LAKINI HUWA INATIBU KISAWASAWA, UNAPONA NA HUUGUI TENA.

Mheshimiwa Rais Wangu / Wetu Najua SIASA Zina Taratibu Zake Na Hasa Huku Kwetu Afrika SIASA Ni UADUI Na Siyo UJENGAJI Wa HOJA Zenye MANTIKI Na MASHIKO Kwa Maslahi Ya Nchi Yetu au Taifa Letu Hivyo Kila Wakati Wanasiasa Wetu Wamekuwa WAKIZOZANA Tu Badala Ya Kujenga Nchi.

Naamini Kabisa Kuwa Wewe Ni Mwana CCM Mheshimiwa Rais Wangu / Wetu Dkt. John Pombe Joseph MAGUFULI Na Pengine Labda UTAOGOPA Kufanya Baadhi Ya Mambo Kwa KISINGIZIO Cha ILANI Na KANUNI Za Chama Ila KWA MIEZI YAKO HII MICHACHE TU MADARAKANI Nimegundua Vitu Kadha Wa Kadha Ambavyo Ni Vya CHANGAMOTO Kwako Lakini Kama UKIVIZIAZIMA Kutoka Kwa Mpinzani Wako Mzee Wetu Aliyekuwa Mgombea Urais Wa UKAWA Ndugu Edward Ngoyai Lowassa Vitakusaidia Mno UONGOZINI.

Mheshimiwa Rais Mwambie Lowassa AKUAZIME Haya Yafuatayo Ambayo Nimeanza Kuona Kuwa Ama Huna au Umeamua Tu Moja Kwa Moja Kuwa MNOKO:

  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya UVUMILIVU.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya USIKIVU.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya Kutopenda SIFA ZA HOVYO HOVYO.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya KUTOKUKURUPUKA.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya Kuwa Na KIASI.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya Kufanya INTERNATIONAL DIPLOMACY.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya Kutokuwa Na VISASI KWA WANAOMPINGA.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya KUTOKUONGEA KWA HASIRA / JAZBA.
Nina UHAKIKA Usio Na Mashaka Kuwa Mheshimiwa Rais Wangu UKIMWOMBA TU Mzee Lowassa AKUAZIME Hayo MEMA Yake Utaongoza Vizuri Sana Na Nchi Itaenda.

NB: Mwisho Naomba Nimalizie Kwa Kukushauri Kuwa Japo Wewe Na Lowassa Mpo Vyama Tofauti Na Vyenye Itikadi Tofauti Ila Si Vibaya UKIFUMBA MACHO NA KUSAHAU YOTE NA UKAMTUMIA Mzee Lowassa AKUSAIDIE Katika Maeneo Kadhaa Ambayo Naamini ANAKUZIDI Na Si Kutokana Labda HUJUI au HUNA Uwezo Bali Ni Kutokana Na Kwamba Mzee Lowassa Amepata Exposure Ya Issues Ndani Na Nje Ya Nchi Kabla Yako. Mpe Nafasi Huyu Mzee Kwani Bado Ana MADINI Mazuri Kichwani Ambayo Si Tu Yatakusaidia Wewe Bali Nchi Na Sisi Watanzania Wote.

Kama Rais Mstaafu Kikwete Alifumba Macho Na Kumteua Ubunge Injinia James Mbatia Wa NCCR-MAGEUZI Huku Yeye Akiwa Ni Mwenyekiti Wa Taifa Wa CCM Na Michango Ya Mbatia Tukaiona Bungeni Na Hadi Huku Katika Jamii Yetu Iweje Wewe Ushindwe Kumteua Na Kumtumia Mzee Edward Ngoyai Lowassa Katika Kipindi Hiki Cha Uongozi Wako?

Naomba Niishie Hapa Mheshimiwa Rais Wangu Dkt. Magufuli Ila Yachukue Haya Niliyokuambia Kwa Jicho PEVU Na Lenye UMAKINI Na Ipo Siku Utakuja Kunikumbuka. Nakupenda Wewe, Nampenda Lowassa Na NAWAPENDA WATANZANIA Wote. Mungu Ibariki Afrika Mungu Ibariki Tanzania.

Nawasilisha!
yote uliosema Lowasa hana wapo watu wa JPM kuazima kama Dr salim A salimu rais mstaafu mwinyi mzee warioba n.k
Lowasa atampa mpango wa kuchonga laini ya kujinugaisha yeye
 
Hizo tabia zote ulizozitaja za Lowasa wapiga kura hawakuzitaka ndio maana wakamnyima Lowasa kura wakampa Magufuli.

Mkuu Siasa Zimeisha Na Hapa Hatuongelei Wapiga KURA Bali Baki Katika HOJA Ya Msingi Tafadhali. Ukikataa Kuwa Kuna VITU VYA MSINGI Lowassa Anamzidi Rais Magufuli Basi Ubongo Wako Unatakiwa Ukafanyiwe Uchunguzi Wa Kina. Halafu Usiwe CCM JUHA Ambaye Anaogopa Kusema Ukweli Bali Kuwa CCM MAKINI Ambaye Anafuata Misingi Ya Chama Na Ya Kisiasa. Najua Kwakuwa Rais Dkt. Magufuli Ni Mtu MAKINI Huu UZI Lazima Tu Ataupitia Na Atayafanyia Kazi Niliyomwambia Kwani Naamini Mheshimiwa MAGUFULI Siyo " CCM JUHA " Kama Pengine Ulivyo Wewe.
 
Kwanza kabisa Nianze Kwa Kukupongeza Kwa Utendaji Wako Mzuri Wa KUTUKUKA Ulionza Nao Katika Uongozi Wako Ambao Nina Imani Kuwa Utatutoa Watanzania Hapa Tulipo Na Pia Nikiri Kuwa Mimi Ni Mmoja Wa Watu Wenye MAPENZI YA KINDAKINDAKI Na Wewe Ambayo Yalinifanya Nipate Taabu Nyingi Kutoka Kwa WAPINZANI Na Hata WALE WALIOKUWA HAWAKUTAKI Ndani Ya Chama Chetu Cha CCM Lakini Nikasimama Na Msimamo Wangu Wa KIASILI Kuwa Hata Iweje NITAKUUNGA MKONO Kwa Gharama Yoyote Ile Ili Uje Utuongoze Na Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu Kuwa Kweli Umekuwa Rais Wetu Na Sasa Unafanya Kile Ambacho Kilionekana Ni Taboo Kufanyika Ndani Ya CCM Yetu Hii Ya DIGITAL Na Iliyokuwa Imejaa USANII Na UHUNI Mwingi Hali Iliyosababisha Hadi WANANCHI KUTUCHOKA Na Kukupa Wewe Taabu Sana Katika KAMPENI Zako.

Mheshimiwa Rais Wangu Nimeanza Na Muktadha Huo Kama Sehemu Ya UTANGULIZI Wangu Kwa Kile Ambacho Nataka Nikiseme Kwako au Nikuambie Leo Na Nitakuomba Sana Uwe Mvumilivu Kwani Kwa Kawaida Dawa Ya GENTAMYCINE INA MAUMIVU LAKINI HUWA INATIBU KISAWASAWA, UNAPONA NA HUUGUI TENA.

Mheshimiwa Rais Wangu / Wetu Najua SIASA Zina Taratibu Zake Na Hasa Huku Kwetu Afrika SIASA Ni UADUI Na Siyo UJENGAJI Wa HOJA Zenye MANTIKI Na MASHIKO Kwa Maslahi Ya Nchi Yetu au Taifa Letu Hivyo Kila Wakati Wanasiasa Wetu Wamekuwa WAKIZOZANA Tu Badala Ya Kujenga Nchi.

Naamini Kabisa Kuwa Wewe Ni Mwana CCM Mheshimiwa Rais Wangu / Wetu Dkt. John Pombe Joseph MAGUFULI Na Pengine Labda UTAOGOPA Kufanya Baadhi Ya Mambo Kwa KISINGIZIO Cha ILANI Na KANUNI Za Chama Ila KWA MIEZI YAKO HII MICHACHE TU MADARAKANI Nimegundua Vitu Kadha Wa Kadha Ambavyo Ni Vya CHANGAMOTO Kwako Lakini Kama UKIVIZIAZIMA Kutoka Kwa Mpinzani Wako Mzee Wetu Aliyekuwa Mgombea Urais Wa UKAWA Ndugu Edward Ngoyai Lowassa Vitakusaidia Mno UONGOZINI.

Mheshimiwa Rais Mwambie Lowassa AKUAZIME Haya Yafuatayo Ambayo Nimeanza Kuona Kuwa Ama Huna au Umeamua Tu Moja Kwa Moja Kuwa MNOKO:

  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya UVUMILIVU.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya USIKIVU.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya Kutopenda SIFA ZA HOVYO HOVYO.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya KUTOKUKURUPUKA.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya Kuwa Na KIASI.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya Kufanya INTERNATIONAL DIPLOMACY.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya Kutokuwa Na VISASI KWA WANAOMPINGA.
  • Mwambie Lowassa Akuazime Tabia Yake Ya KUTOKUONGEA KWA HASIRA / JAZBA.
Nina UHAKIKA Usio Na Mashaka Kuwa Mheshimiwa Rais Wangu UKIMWOMBA TU Mzee Lowassa AKUAZIME Hayo MEMA Yake Utaongoza Vizuri Sana Na Nchi Itaenda.

NB: Mwisho Naomba Nimalizie Kwa Kukushauri Kuwa Japo Wewe Na Lowassa Mpo Vyama Tofauti Na Vyenye Itikadi Tofauti Ila Si Vibaya UKIFUMBA MACHO NA KUSAHAU YOTE NA UKAMTUMIA Mzee Lowassa AKUSAIDIE Katika Maeneo Kadhaa Ambayo Naamini ANAKUZIDI Na Si Kutokana Labda HUJUI au HUNA Uwezo Bali Ni Kutokana Na Kwamba Mzee Lowassa Amepata Exposure Ya Issues Ndani Na Nje Ya Nchi Kabla Yako. Mpe Nafasi Huyu Mzee Kwani Bado Ana MADINI Mazuri Kichwani Ambayo Si Tu Yatakusaidia Wewe Bali Nchi Na Sisi Watanzania Wote.

Kama Rais Mstaafu Kikwete Alifumba Macho Na Kumteua Ubunge Injinia James Mbatia Wa NCCR-MAGEUZI Huku Yeye Akiwa Ni Mwenyekiti Wa Taifa Wa CCM Na Michango Ya Mbatia Tukaiona Bungeni Na Hadi Huku Katika Jamii Yetu Iweje Wewe Ushindwe Kumteua Na Kumtumia Mzee Edward Ngoyai Lowassa Katika Kipindi Hiki Cha Uongozi Wako?

Naomba Niishie Hapa Mheshimiwa Rais Wangu Dkt. Magufuli Ila Yachukue Haya Niliyokuambia Kwa Jicho PEVU Na Lenye UMAKINI Na Ipo Siku Utakuja Kunikumbuka. Nakupenda Wewe, Nampenda Lowassa Na NAWAPENDA WATANZANIA Wote. Mungu Ibariki Afrika Mungu Ibariki Tanzania.

Nawasilisha!
Umesahau moja mkuu na kuwa Mfisadi
 
Acha hayo mambo unataka kuturudisha tulipo toka?

Ulipotoka Ni Wapi Na Unapoelekea Ni Wapi Kisiasa? Hivi Huko Vyuo Vikuu Mnaenda nini Vichwani Mwenu? Ungekuwa Unakoelekea Ni Kuzuri Ungenyimwa Pesa Ulizokuwa Ukizikodolea Macho Za MCC Na Za Wahisani Wengine? Halafu Academician Na Intellectual Yoyote Akiwa Anajibu Suala La Msingi Basi Lazima Tu Atalitolea UFAFANUZI Na Siyo Kama Ambavyo Umejibu Tu Kijuu juu. Hata Hivyo Nakushukuru Kwani Umeshanionyesha Uwezo Wako Wa Mwisho Wa KUFIKIRI Akhsante Sana.
 
Back
Top Bottom