Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Wanazura wakati katibu myeka wa mkuu sera na utafiti hajulikani alipo wasanii buana
Mkuu. Kwani lowassa ni fisadi? au sio fisadi?bila kujitoa ufahamu huwezi kuwa mshabiki wa hiki chama, juzi tu hapa mlimwita fisadi na majina yote ya ovyo, leo kageuka shujaa!!!
bila kujitoa ufahamu huwezi kuwa mshabiki wa hiki chama, juzi tu hapa mlimwita fisadi na majina yote ya ovyo, leo kageuka shujaa!!!
Swali gumu sana kwa wakati huu. Hapo lazima aingie mitini au akuporomoshee matusi ili kupotosha hoja iliyo mezaniMkuu. Kwani lowassa ni fisadi? au sio fisadi?
Kama una kumbukumbu nzuri, uliwahi kumuona Mwalimu Nyerere, amevaa Shati la Kijani la CCM, kabla hajafa?kazi nzuri kwenye chama. Swali la kizushi hivi ni kweli lowassa amegoma kabisa kuvaa gwanda au chadema hawataki kumshonea?
Ha ha ha.. hela mbaya sana, yaani hapo tayari unalipwa kwa kazi hii?
Huyo ProfesA tangu alikoroge sijawahi hata msikiaprof.Lipumba mmoja, anatikisa chadema yote, Iweje CCM na hicho kisaccoss cha lowasa
Kuitikisa ndio kufanyaje? Machadema bana, akili zenu sawa na za Ng'ombe tu.Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA leo ameingia katika mji wa Igunga kuendelea na vikao vya ndani katika kanda ya Magharibi ya chama hicho inayojumuisha mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi.
View attachment 445061 View attachment 445062 View attachment 445063