Mkuu kajiunge na akina Mpoki na Joti. Wana maswali kama yako, utasikia wakiuliza, mwewe ni ndege lakini mbona hapakii abiria? Maswali ya kijinga, watu wanacheka wao wanaingiza pesa! Sasa mkuu unasubiri nini wakati kipaji unacho?Ametikisa Igunga mbona nyumba hazijaanguka?
Yaani unanilazimisha nijibu pumba sio?Mkuu kajiunge na akina Mpoki na Joti. Wana maswali kama yako, utasikia wakiuliza, mwewe ni ndege lakini mbona hapakii abiria? Maswali ya kijinga, watu wanacheka wao wanaingiza pesa! Sasa mkuu unasubiri nini wakati kipaji unacho?
Mko wawili sasa, wewe na Magonjwa mtambuka. Soma post #6. Undeni kikundi cha komedi.Utikisaji wake umesababisha nyumba kubomoka??
Sijakulazimisha mkuu, nimekushauri tu, sio lazima ufuate ushauri wangu. Nimeona una kipaji cha komedi.Yaani unanilazimisha nijibu pumba sio?
Duh! Kumbe mpo wengi!Niliposoma kichwa cha habari kweli nilitaka kujua kama mtisiko huo hakuna majeruhi.



Hahaaaaa!!Mungu ibariki chadema .