Lowassa aitikisa Igunga

Lowassa aitikisa Igunga

siasa raha sana kama umejamba mfuzi wa kimyamya unawacha wao wanajishushua nani kajamba we umetulia tu
 
Tunataka hela za ruzuku ya chama na sisi tulambelambe hata kidogo, maana Mbowe na Lisu kila kukicha wako angani kuelekea ulaya kwenda kutumbua
 
Yaani hata sijui unaongea nini.
Usijifanye huelewi! Ulitaka mleta thread katika andiko lake aonyeshe nyumba zilizobomoka kutokana na mtikisiko uliosababishwa na Lowasa kuwa Igunga. Nami nimekwambia mtikisiko wa nyumba ulitokea kule ambako rambirambi zao mmeingia nazo mitini, mtikisiko wa Igunga sio wa aina hiyo, bali polisi wa Igunga wanaweza kukueleza! Huelewi nini sasa?
 
bila kujitoa ufahamu huwezi kuwa mshabiki wa hiki chama, juzi tu hapa mlimwita fisadi na majina yote ya ovyo, leo kageuka shujaa!!!
Mkuu hizo ni siasa tu, wanasiasa karibu wote ni vigeugeu! JPM wakati wa kampeni alisema, "nchi hii imefika hapa ilipo kwa sababu ya mafisadi, na nikiwa raisi nitaanzisha mahakama ya mafisadi". Na kweli ametimiza hiyo ahadi ya mahakama ya mafisadi. Sasa sikia hii, "siwezi kufukua makaburi kwa sababu mengine hatutaweza kuyafukia". Sasa jiulize bila kufukua makaburi atawapata wapi hao mafisadi walioifikisha nchi kwenye hali mbaya? Kigeugeu....! Usimwamini mwanasiasa hata.kama ni ndugu yako!
 
Back
Top Bottom